Je Mbunge wako anajua Kusoma na Kuandika?! Njoo nae hapa sasa...

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,950
1,039
Wana JF kwa haraka tu huu mjadala wa hitimisho wa ripoti ya kamati ya PAC unaoendela usiku huu.

Kwa uchunguzi wangu wa haraka nimeona wabunge wanaochangia hoja ni walewale tu.

Nimekumbuka kile kifungu katika katiba pendekezwa cha kutupilia mbali Uwezo au Elimu ya mbunge na kubakisha tu ajuae kusoma na kuandika tu.

Mimi naanza na wa Bunge hawa niwajuao wanao jua kusoma na kuandika tu sijui na mipasho au ububu.....na kufanya kutoongea leo.

1. Aziz Abood wa Morogoro
2. Lusinde aka kibajaji jana kabwatuka leo kimyaa sijui ni night session ngumu kwake au kujua kusoma na kuandika tu.
3.Shabiby
4.WALETENI WENGINE JAPO TUWAFAHAMU TU................itasaidia sana hata kwenye Kura ya Maonu ya Katiba pendekezwa.

Nawasilisha.
 
Wabunge wangu wote ziiii makongoro mahanga,john chiligati na said mkumba

Pole ndugu, ila pole sana kama uliwapigia kura kuwachagua.

Kama mimi Aziz Abood ingawa sikumpiga kura...ila 2015 ni wakati wa mabadiliko tukianzia na hili la katiba pendekezwa.
 
Daaaaah mi ninalibunge linaelimu ni prof ila domo zege kinyama mamaeeeeee huyu piter msola ni shiiida bora hata life kuliko libunge mzgo kama hili

Pole alikuwa mkuu wangu wa chuo huyo ila anapenda sana wife za watu sijui siku hizi kama ameacha au laah

Ila wajua usomi au hata u prof ukichanganya na uanachama wa ccm basi matokea yake ndio unakuwa kama prof muhongo na hao wabunge wajuao kusoma na kuandika tu.
 
Daaaaah mi ninalibunge linaelimu ni prof ila domo zege kinyama mamaeeeeee huyu piter msola ni shiiida bora hata life kuliko libunge mzgo kama hili

hahahahahaahahahaaha nchi ya wajanja ila tatizo cy yy tatizo ni system mbovu ya uongozi tutakesha sanaaa na tutalalamika mpaka tutakufa bila kupata mabadiliko ila kama kweli tunataka mabadiliko system ya uongozi ibadilike hapo mtaona mabadiliko kuwe hata na uwajibishaji kwa wale walioenda bungeni kulala yaan mtu kaacha kitanda nyumbani anaenda kazini kulala bila aibu nchi hiiii
 
NAshangaa sana nchi hii eti mbunge ajue kusoma na kuandika alafu dereva wake lazima awe na elimu ya form 4 inamaana gani sasa hapo Tafakari chukua Hatua chapa lapa mbeleeeeee
 
Back
Top Bottom