Je, Mbunge Shibuda alikuwa wapi wakati makamanda wetu wengine wakiwa katika harakati za ukombozi?

Wajameni vibaya hivyo,mwenzenu alikuwa makao makuu akilinda ofisi kwani mnadhani nani aliachwa kulinda!
Shbuda shibuda,mbona mimi ndiye mkubwa wa chadema aliyetoa gari lake jana liganga kuwabeba makamanda bure simjui huyu mnafiki.tulishamfukuza wala msiwe na wasiwasi makamanda wenzangu.
 
Bila posho asingeweza kufanya kampein yule. Yupo oriented kipesa zaidi.
 
Yupo katika kukiimarisha kile chama chao kipya,mbona tulisha mtosa longtime huyo bwana mipasho...." chadema hatutaki wanafiki waongo,mamluki na yeyote atakaekwenda tofauti na misingi na kanuni za chama.tukikubaliana hapana tunakua tunamaanisha hivyo wote,ukileta zako za kuleta tunakupa chafu wala hatukusubiri kukupotezea muda na wala wewe kutupotezea muda.angalia selasini yuko wapi nae,alileta mambo yake ya k.i.s.e....ge tukamuweka pending .chadema tuna inteligensia ya ukweli na uhakika,sio ya kinafiki kama magamba.ukileta zako hatukukopeshi wala kukuchelewesha.chadema alwayz is people power.
bora ukimwi kuliko chadema na shibuda.

Sijakuelewa hapa,'bora ukimwi kuliko chadema na shibuda'. unamaanisha nini?
 
haha shibuda alihitajika kwa ajili ya kuongeza ruzuku tu, hana lolote wameshamtumia na hawamuhitaji tena 2015 watasimamisha kamanda mwingine Maswa. hata hivyo shibuda pamoja na unafiki wake anashukuriwa kwa kuipatia chadema uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa ujinga wake.
 
Yupo katika kukiimarisha kile chama chao kipya,mbona tulisha mtosa longtime huyo bwana mipasho...." chadema hatutaki wanafiki waongo,mamluki na yeyote atakaekwenda tofauti na misingi na kanuni za chama.tukikubaliana hapana tunakua tunamaanisha hivyo wote,ukileta zako za kuleta tunakupa chafu wala hatukusubiri kukupotezea muda na wala wewe kutupotezea muda.angalia selasini yuko wapi nae,alileta mambo yake ya k.i.s.e....ge tukamuweka pending .chadema tuna inteligensia ya ukweli na uhakika,sio ya kinafiki kama magamba.ukileta zako hatukukopeshi wala kukuchelewesha.chadema alwayz is people power.bora ukimwi kuliko chadema na shibuda.

Inzi akiingia kwenye glasi ya maziwa dawa yake siyo kuwaga maziwa bali kumtoa!
 
Yupo katika kukiimarisha kile chama chao kipya,mbona tulisha mtosa longtime huyo bwana mipasho...." chadema hatutaki wanafiki waongo,mamluki na yeyote atakaekwenda tofauti na misingi na kanuni za chama.tukikubaliana hapana tunakua tunamaanisha hivyo wote,ukileta zako za kuleta tunakupa chafu wala hatukusubiri kukupotezea muda na wala wewe kutupotezea muda.angalia selasini yuko wapi nae,alileta mambo yake ya k.i.s.e....ge tukamuweka pending .chadema tuna inteligensia ya ukweli na uhakika,sio ya kinafiki kama magamba.ukileta zako hatukukopeshi wala kukuchelewesha.chadema alwayz is people power.bora ukimwi kuliko chadema na shibuda.
Dahh mkuu umeenda mbali ukimwi ki2 kingine naona ungesema heri askar mmoja mtiifu kuliko askari elfu moja wasaliti
 
Back
Top Bottom