jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Swali hili linamuendea Mbowe akiwa kama KUB na muwakilishi mkuu wa maoni kinzani au mbadala dhidi ya serikali.
Je, Mbowe yuko tayari kutetea ukaguzi wa vyeti kwa wanasiasa?
Je, Mbowe yuko tayari kuwasilisha hoja binafsi ya kuhakikisha wanasiasa wanakaguliwa vyeti?
Ni upi msimamo wa Chama chake kuhusu ukaguzi wa vyeti kwa wanasiasa?
Je, vyama vya siasa vianze uhakiki wa vyeti kwenye vyama vyao?Chadema iko tayari kwa hili ili kujibu kiu ya mashabiki wao wa mtandaoni?
KARIBUNI KWA MJADALA.
HOJA HUJIBIWA KWA HOJA