900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,573
- 5,858
Tunajua ila leo ndo mgawo unakuwa mneneWe kilaza kweli,tasaf ipo mda mrefu haijaanza leo
Tunajua ila leo ndo mgawo unakuwa mneneWe kilaza kweli,tasaf ipo mda mrefu haijaanza leo
Relax usipanic mkuu, tulia tu uandike vizuri, rudi darasani kasome katika topic ya Development kuna kitu kinaitwa "indicators of development", kama unakiri kuviona hivyo vitu basi ujue kuna shughuli kubwa za maendeleo zimefanywa....Hivyo vitu ndio vitawapigia kura.
Itakuwa hawana la kujibu pia, hivi airport ya chato utaitolea jibu gani?Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa...
Yani linalokuja kuchwani ni kuandika tuu.. ukiambiwa uprove hizo accusation will buddy..... Watanzania unafiki ndio unaotumalizaIlikuwa ikitumika kusaidia wananchi kwa lengo la kuinua uchumi wao lakini kwa sasa inalenga kukipa chama kura. Wameshachelewa
Hawa hawawezi kishawishika. Mtu analala hoi tena akiwa na njaa atashawishika kweli,?walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa.
Amesema CCM imeongeza idadi ya wahitaji hajasema TASAF imeanza kazi jana.We kilaza kweli,tasaf ipo mda mrefu haijaanza leo
MATAGA wamepigwa bumbuwazi ndugu, wala si kukaa kimya eti kimkakati. wamechanganyikiwa kwa jinsi Lissu anavyotoa majibu ya tambo zao za miaka 5.
Lissu kawapiga bumbuwazi MATAGA kwani kwanza hawakuamini jamaa angerejea nchini na pili kwamba angeweza kutoa majibu ya tambo zao this comprehensively.
sasa MATAGA wamerudi kwenye drawing board ili kutunga kiki nyingine fake - Lissu anawasubiri, Watanzania wanasubiri kumsikiliza Lissu.
wameishia kuwaagiza kina Sirro na Kaijage kumjibu Lissu kimkwara but unapompiga mkwara Lissu ni kama kumpiga chura teke.
mimi ni CCM by the way lakini si MATAGA.
habari ndiyo hiyo!
Wanaandaa bao la mkono.Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabisa.
Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali, ccm wataendelea na uzinduzi wa miladi na kujinadi kwamba wao Ni vitendo, lakini pia wamechagua kukaa kimya bila kujibu mapigo ya wapinzani, na hapo ndipo watu wengi wanamatamanio kusikia Nani atakuwa mjibu mapigo ya upinzani, ila all in all, je kampeni za kitanda kwa kitanda zitawasaidia CCM? au wanashindwa jinsi ya kumsaidia m/kiti wa ccm?
Siasa Ni sayansi, usimdhalau mpinzani wako
Sitii nenoNipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa.
Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali.
CCM wataendelea na uzinduzi wa miladi na kujinadi kwamba wao Ni vitendo, lakini pia wamechagua kukaa kimya bila kujibu mapigo ya wapinzani, na hapo ndipo watu wengi wanamatamanio kusikia Nani atakuwa mjibu mapigo ya upinzani, ila all in all.
Je kampeni za kitanda kwa kitanda zitawasaidia CCM? au wanashindwa jinsi ya kumsaidia m/kiti wa ccm?
Siasa Ni sayansi, usimdhalau mpinzani wako
Sasa hivi ccm maji yako shingoni.Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa.
Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali.
CCM wataendelea na uzinduzi wa miladi na kujinadi kwamba wao Ni vitendo, lakini pia wamechagua kukaa kimya bila kujibu mapigo ya wapinzani, na hapo ndipo watu wengi wanamatamanio kusikia Nani atakuwa mjibu mapigo ya upinzani, ila all in all.
Je kampeni za kitanda kwa kitanda zitawasaidia CCM? au wanashindwa jinsi ya kumsaidia m/kiti wa ccm?
Siasa Ni sayansi, usimdhalau mpinzani wako
Umesikia wapi?Umesikia wapi kuna mgombea Uraisi wa muungano wa vyama upinzani...Lengo lenu limefeli hatumtaki Membe hata vijana wa ACT hawamtakiCCM wanajielewa kuliko Hawa wanaosadikika Ni wapinzani.
Yani kipenga Cha Mchezo hata hakijapuulizwa Wala watu hawajaingia hata uwanjani tayari washaanza mihemuko ya Mchezo.
Na kwa Akili hizi itachukua miaka mingi Sana CCM kuitoa madarakani.
Amini usiamini mgombea urais wa muungano wa vyama vya Upinzani Ni Benard membe na Wala siyo lissu na huyo membe ni Mgombea wa kimukakati kutoka upande wa pili.
Mkuu Akili yako ya kisaisa Ni ndogo Huwezi nielewa kwasasa subiri Muda ukifika ndo utajua Nini namanisha.Umesikia wapi?Umesikia wapi kuna mgombea Uraisi wa muungano wa vyama upinzani...Lengo lenu limefeli hatumtaki Membe hata vijana wa ACT hawamtaki
Pale ambapo "msaidi wa kazi za nyumbani" anapovaa viatu na nguo za bosi wake na yeye kujiona kuwa ni bosi.Subiri kampeni zianze ndipo utakua ccm tumejipanga vipi
Ccm chama kikubwa sio kuongea hovyo na kuropoka,kwa sasa tupo bize kudurusu Sera zetu,filimbi ikianza tu tutaenda chini kabisa kueleza tumefanya Nini,na tukipewa dola tutafanya nini.nyie hangaikeni na uwanja na mbuga chato
kipi kipya kisichozoeleka kwa wanachi zaidi ya marudio hayo hayo ya sgr,flyover,ndege,mabeberu, na stiglersSubiri kampeni zianze ndipo utakua ccm tumejipanga vipi
Ccm chama kikubwa sio kuongea hovyo na kuropoka,kwa sasa tupo bize kudurusu Sera zetu,filimbi ikianza tu tutaenda chini kabisa kueleza tumefanya Nini,na tukipewa dola tutafanya nini.nyie hangaikeni na uwanja na mbuga chato
uzuri Mkapa hayupo safari hii mpira mtamu,wazungu ndo watakaoamua huu mtifuano.Miaka mitano yote wamepiga siasa wenyewe mpaka kufika hatua ya kujiona upinzani wameuua saivi hawana la kuwaambia wananchi zimebaki tu mboyoyo mboyoyo za kila siku.
Kwa kifupi ccm wamepanic na raundi hii Zanzibar wanaipoteza na hapo ndipo watakopo gundua kuwa ni utopolo tu walikuwa wanafanya miaka mitano.