Je Mawaziri Wetu ni Watumishi wa Umma?

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Salaam Wana JF,

Hivi Mawaziri wetu sio Watumishi wa Umma? Na kama sio Watumishi wa Umma, kwanini wanalipwa mishahara yao na Serikali kuu? Na kama ni ndiyo, kwanini wanaruhusiwa kujihusisha na siasa wakati wao ni Watumishi wa
Umma?
 
Back
Top Bottom