yap. si wabunge pia. maana wanakaim nafasi mbili za ubunge na uwaziriHebu tujadili hili - je ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
Kwa maana hiyo wakikamata ile 11 million bado na kwenye Uwaziri wanakamata kitu tena! Je ya Uwaziri ni bei gani vile?yap. si wabunge pia. maana wanakaim nafasi mbili za ubunge na uwaziri
Mshahara wanalipwa ya uwaziri lakini posho za kibunge zote anazipa + za uwaziriHebu tujadili hili - je ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
Uwaziri ni bei gani salary zao?Mshahara wanalipwa ya uwaziri lakini posho za kibunge zote anazipa + za uwaziri
Mshahara wa bunge halipwi isipokuwa ni wa waziri pekee lakini posho anapiga pande zote 2yap. si wabunge pia. maana wanakaim nafasi mbili za ubunge na uwaziri
Mkuu hiyo ni siri siyo vizuri kutaja, sema ni nono zaidi ya mshahara wa Katibu Mkuu wa Wizara tofauti kama 3KUwaziri ni bei gani salary zao?
Ok, Mshahara wa Uwaziri ni bei gani?Mshahara wa bunge halipwi isipokuwa ni wa waziri pekee lakini posho anapiga pande zote 2
Mkuu hiyo ni siri siyo vizuri kutaja, sema ni nono zaidi ya mshahara wa Katibu Mkuu wa Wizara tofauti kama 3K
Mkuu hiyo hapana siwezi kutaja hata kama siwezi kukamatwa lakini siyo vizuri kutoa hadharani, elewe tu kuwa ni mnono snOk, Mshahara wa Uwaziri ni bei gani?
Uliza mkuu utasaidiwa vizuri3K ukimaanisha sh ngapi?
Ok. Unazidi ule wa ubunge sio?Mkuu hiyo hapana siwezi kutaja hata kama siwezi kukamatwa lakini siyo vizuri kutoa hadharani, elewe tu kuwa ni mnono sn
Mbali sn tofauti ya 2MOk. Unazidi ule wa ubunge sio?
Asee kwa hiyo Waziri analipwa 11 ml + 2 ml inakuwa ni 13 million!Mbali sn tofauti ya 2M
Siri? Kwani c wanalipwa kwa pesa ya umma? Lazima umma wajue pesa zao zinatumikajeMkuu hiyo ni siri siyo vizuri kutaja, sema ni nono zaidi ya mshahara wa Katibu Mkuu wa Wizara tofauti kama 3K
Hii nayo ni hoja nzuri!Siri? Kwani c wanalipwa kwa pesa ya umma? Lazima umma wajue pesa zao zinatumikaje
Mshahara kama mshahara wa mbunge haufiki 5M, fedha nyingi zinaitwa posho(8M) iliwasikatwe kodi mkuu, zimefichwa huko sababu posho haikatwi kodiAsee kwa hiyo Waziri analipwa 11 ml + 2 ml inakuwa ni 13 million!
Sijajua kalenga kusema sh ngapi ila 3K means 3000(Elfu 3)! So atakua kakosea kuwasilisha!3K ukimaanisha sh ngapi?
Sheria zinakataa mkuu mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwaSiri? Kwani c wanalipwa kwa pesa ya umma? Lazima umma wajue pesa zao zinatumikaje
Kwa hiyo tukichukua mshahara wa Mbunge let say 5m + 2m ndiyo unakuwa mshahara wa Waziri?Mshahara kama mshahara wa mbunge haufiki 5M, fedha nyingi zinaitwa posho(8M) iliwasikatwe kodi mkuu, zimefichwa huko sababu posho haikatwi kodi