Je, Mawaziri Mulamula na Mbarouk watakula kiapo kabla ya kuwa Wabunge?

Hivi waTz ndipo tulipofikia huku kuanza kuhoji kwamba huyu aliyeteuliwa ni Mnzenji au mzenjibara tukiendelea kuendekeza hii dhambi ipo siku itatutafuna😂😂😂
 
Hawawezi kuapishwa kuwa mawaziri kabla ya kiapo cha ubunge. Wataapishwa ubunge asubuhi na kisha baadae wataapa kwa nafasi ya uwaziri.
 
Wazenj ni watu wema sana hasa ukute kafia dini na msomi hawanaga makuu ukiolewa au ukioa huko zenji hata muda wa kuishi unakuwa mrefu sijui kwann? Kama hujaolewa tafuta mwanaume wakizanzibar wenye hizo sifa uje huku uanzishe uzi wako wa hao watu.

Pia ajiandae kutumiwa mashimo yote mawili
..
 
Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa jinsi alivyoisuka Wizara ya mambo ya nje kwa mustakabali diplimasia ya taifa letu. Lakini Jana baada ya kutangaza uteuzi wao aliahidi kuwaapisha leo saa 4 asubuhi vuwanja vya Ikulu.

Ninachoomba kujua, Je wataapa Uwaziri kabla ya kuwa Wabunge kamili? Au wataapishwa haraka haraka bungeni kisha kukimbilia Ikulu kuapishwa?
Hilo wamerekebisha!!
 
Nami nilikuwa nanswali kama lako lakini langu lipo tofauti kidogo...

Inawezekana vipi Rais kumteua mtu kuwa mbunge na kabla hajaapishwa ubunge, anateuliwa kuwa Waziri?

Wakati sifa ya waziri ni lazima kwanza awe mbunge, na mbunge huwa mbunge halali hadi pale anapokula kiapo cha ubunge mbele ya Spika
 
Back
Top Bottom