Je matokeo yakibandikwa wananchi tutaruhusiwa kuyaona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je matokeo yakibandikwa wananchi tutaruhusiwa kuyaona?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Omulangi, Oct 28, 2010.

 1. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  At the end of counting exercise the results will be displayed at the polling stations, will it be permitted for the general public to come at the polling stations to view them? Several times i have heard after voting everyone should go home. Please seek this information for me and many others because we want to abide by the law.

  Kuna confusion kubwa hapa kwani matangazo yote ya vyombo vya usalama yanasisitiza wananchi tukimaliza kupiga kura tu twende nyumbani. Sasa matokeo yatabandikwa kwa ajili ya nani?
   
 2. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa maneno mengine ni lini (saa ngapi) wananchi tutaruhusiwa kurudi vituoni kusoma hayo matokeo bila kupigwa virungu na polisi?
   
Loading...