Je, mashirika ya Umma yataendelea kuzalisha faida na kutoa Gawio kwa Serikali hasa TTCL na ATCL?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,576
141,379
Hivi punde nimepokea Gawio kutoka Airtel money.

Ndio nimekumbuka kwamba huu mtandao pendwa hutoa gawio kwa serikali kila mwaka

Je, tutegemee kuyaona mashirika yote ya Umma yakitoa gawio kwa serikali yakiwemo Ttcl, Atcl, Muhimbili nk....nk?
 
Kama yanafanya biashara na sheria inayataka hivyo yanatakiwa kutooa, maumivu ni pale mashirika ya huduma kwa wananchi yatakapplazimishwa kutoa gawio na kuyapelekea kufa kutokana na miradi mingi kwa wakati mmoja isiyo kuwa utatatibu wa kupangiwa vipaumbeley
 
Back
Top Bottom