Je! Mashine za kunyolea (za saloons) zinaweza kukuambukiza virusi vya UKIMWI?

Thank you.

Hivi sasa sina wasiwasi sana pia ninatumia mashine yangu binafsi ya kunyolea.

I was affraid before. Kama mtu anaweza kupata vipele vya bakteria why Virus isiambukizwe. So kupitia research nimeanza kuelewa.

Thanks to all
mkuu umeadimika sana jukwaani
 
Hii ni sababu ya kishule endapo utaulizwa lakini ktk uhalisia mashine ya kunyolea haiwezi kuambukiza ukimwi

Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom