johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,903
- 141,850
Nijuavyo mimi wizara ya katiba na sheria inaweza kuongozwa na mtu mwenye taaluma yoyote hata mzee Mgaya na degree yake ya " Sindimba" anatosha.
Sijajua kuhusu mama Mary Nagu ila Celina Kombani hakuwa mwanasheria lakini aliiongoza vixuri tu wizara ya sheria.
Hata Ummy Mwalimu ni mwanasheria nadhani lakini ndio waziri wa afya anayeongoza mapambano dhidi ya Corona.
Au pale wizara ya michezo kuna anayejua Mwakyembe na Shonza wanacheza michezo au ngoma gani?
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!