Je!marekani inaiangaliaje zanzibar na future yake kuelekea taifa huru?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je!marekani inaiangaliaje zanzibar na future yake kuelekea taifa huru??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Titans, May 29, 2012.

 1. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Wana bodi salaam,

  nachukua fursa hii kuleta hii habari nimesikia ubalozi wa marekani hapo Dar es salaam umetoa tamko kupitia balozi wake kuhusu vurugu za zanzibar na amekemea vikalia akitaka watu wakae kwenye mazungumzo,

  My comment:

  Hivi kutokana na vurugu za watu kuchoma makanisa huko zenji inawezekana Marekani ikawa inahusisha na mambo ya kigaidi na nadhani USA wana intelijensia kuhusu future ya zanzibar na uislam/udini,isije ikawa zenji target ya hawa waamerika baada ya Muungano kufa,Mungu nipe maisha marefu nione wazenji wakijuta na kusaga meno in the near future.
   
 2. K

  Kevin.A Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  USA wanahofia kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Al qaeda/Al shabab kujikita kwenye kile Kisiwa.Kwa taarifa yako hata ile serikali ya Umoja Zanzibar ina mkono wa Marekani...For Zanzibar...USA they will do everything to make sure Zenji hali ni shwari (ila kazi wanayo).Kumbuka Arusha yalitokea machafuko na mauwaji lakini ukusikia kauli ya ubalozi wa marekani!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Marekani haita angalia taifa linaloashiriwa kwa Mabomu na Magaidi, Marekani itajitoa Mapema na Zanzibar itakuwa kama Somalia.

  Wewe Subiri CIA ifanye utafiti wake hao wote waliochoma Makanisa watawekwa kama Magaidi hawataweza kupanda ndege kwenda kokote labda Pemba
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Arusha, Wapinzani hawakurusha Mabomu kulipua Makanisa ni Dola kwahiyo ni tofauti kabisa na huko Zanzibar
   
 5. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Najua Marekani imeweka her eyes on Zanzibar issue,they take it as Nigerian movements of Boko haram,unajua wanachokifanya sasa hivi hawa wazanzibari especially kuchoma makanisa to USA its total terrorism,i am happy that Zanzibar varnishes as ashes,nimeshawahi kushuhudia ubaguzi wa hawa watu huko zenji,nilipata kazi ya kulipwa hela nyingi tu na kampuni ya nje but station iwe zenji...i tell you guys Sheha ndiye aliyenifanya nikakosa ile kazi and i curse him.
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  click hapa utajua inaingiaje!

  makosa makubwa walionalo wanzanzibar ni mawili;

  1) Zanzibar ni nchi imekaa vyema kama eneo la kijeshi (military strategic area)
  2) zanzibar ina mafuta

  hebu bofya hapa ujionee;

  Israel Betrays America into War with Iran - YouTube
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kinachotokea Zanzibar leo si UGAIDI ni uhalifu wa jinai. Wamarekani hawawezi kuiona Zanzibar ni kitovu cha ugaidi kama hakuna mipango inayofanywa kutokea Zanzibar kuwadhuru wamarekani. Ugaidi kwa wamarekani ni kitendo cha waislam kupanga kuwadhuru wamarekani.

  Kama kuchoma kanisa ni ugaidi basi hata kuchoma msikiti ni ugaidi pia. Matukioa ya misikiti kushambuliwa marekani yapo mengi sana ila wao huyaita 'Hate crime'. Mtanzania yeyote anayesema kilichotokea Zanzibar ni ugaidi basi ni lazima atakuwa ni muathirika namba moja wa propaganda za magharibi kuhusu uislam na ugaidi. Kitendo cha wazanzibar kuchoma makanisa kinaqualify kabisa kuwa 'Hate Crime' na wahusika wafikishwe mahakamani kama wahalifu wengine.

  Nimesikitishwa sana na Tamko la Julius Mtatiro kuhusisha vurugu za Zanziba na ugaidi. Halitendei Taifa haki wala Zanzibar haitendei haki. Athari za tamko kama la Mtatiro ni kubwa zaidi kiuchumi hasa kwenye sekta ya utalii Zanzibar kuliko kushughulikia tatizo, la kuitenga CUF na vurugu hizo. Mtatiro hakutakiwa kuhususha ugaidi na vurugu za Zanzibar. Tukianza kuhusisha matukio kama ya Zanzibar na ugaidi tutakuwa tunajenga precedence mbaya sana na hasa kuhusu uislam. Juzijuzi kuna kanisa pale Nyerere Road waumini wake walifanya fujo kubwa na kulazimisha polisi kutumia risasi za moto je ule nao tuuitaje?.
   
 8. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Zenji people dont know what they want,to my view all what happens in Zanzibar is terrorism,mind you terrorism haina udini,any one can be a terror,but according to the western world terrorism is reflected most in islamic movements and they can take the justification of what happens in zanzibar that watu wanachoma makanisa (the worst thing ever done in this crisis),why MAKANISA???mbona misikiti imebaki salama??Zanzibar itajiweka katika ramani tofauti kabisa na ilivokua na nina nakika utalii utapungua sana kz wazungu wanalishana sana woga when it comes kwa makanisa kuchomwa,

  Terrorism
  The unlawful use or threatened use of force or violence by a person or an organized group against people or property with the intention of intimidating or coercing societies or governments, often for ideological or political reasons.
   
Loading...