Je, Marais/Ikulu zina walinzi wenye vipawa vya spiritual intelligence?

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,586
heko kwenu wadau wa hili jukwaa la wachache,

Mimi binafsi huwa natumia spiritual intelligence kuweza kutambua kama niko salama, nitakuwa salama kesho au kuna jambo baya laweza nitokea baadae ama likamtokea ndugu yangu wa karibu au rafiki pia. Hata hivyo kuna mengine huwa siwezi yaona katika ulimwengu wa kiroho maana Mola hunionyesha anachotaka nijue, asichotaka hunishitukiza tu na kutokea ghafla.

Ninaposema spiritual intelligence namaanisha 'UJUZI WA MAMBO YA KIROHO' yaani mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ila yapo na huenda yakakutokea hata leo au kesho.

jambo hili limekaa kiimani lakini bado linabaki lenye maana na umuhimu mkubwa sana kwa ulinzi wa mtu yeyote yule.

wale wasomaji wa biblia na wanaoamini katika biblia au imani nyingine watakuwa wanaelewa ninachozungumza hapa, kwasababu kwenye biblia kuna mifano kadhaa inaelezea jambo hili kwa ufasaha zaidi,

mfano wa kwanza ni Yusufu wa kitabu cha mwanzo yaani mwana wa yakobo alionyeshwa ndoto iliyoonesha baba yake na wakubwa zake wanamuinamia, alipoisema ndoto hii wakubwa zake walimchukia na kumkebehi lakini baada ya miaka kadhaa baadae walikuja kumsujudia yusufu kule nchini misri wakati alipokuwa waziri wa chakula na baadaye waziri mkuu.

mfano wa pili ni ikulu ya farao katika kitabu cha mwanzo inaonyesha kuwa ilikuwa na wataalamu wa mambo ya kiroho kwa imani ya farao au ya kimisri, kwa mfano ikulu ilikuwa na waganga, wasihiri na wengineo ambao walitumika kumlinda farao dhidi ya adui zake wa kipindi hicho.

lakini mbali na hilo kuna watu kadhaa katika dunia hii wamewahi kuota au kuona kuwa kama siku fulani wangesafiri bhasi wangepata ajali na kufa au kuumia, walipoahirisha kusafiri ajali ilitokea na ikaua watu kama alivyoota au kuona katika maono.

wengine hawaoti wala kuona maono lakini nafsi zao huwazuia kabisa kufanya kitu fulani iwapo tu kitawaletea hatari fulani katika maisha.

Najiuliza tu hivi ikulu kuna wataalamu wa haya mambo ya kiroho ili kuipambanua kesho ya nchi fulani/mtawala au kiongozi fulani katika ulinzi na mengineyo?

UPDATES:

Angalizo: Uwezo wa kiroho niliouzungumzia hapa ni ule wa pande mbili tu, yaani uweza wa MUNGU MUUMBAJI na uwezo wa Ibilisi. Wapo watu wanalindwa na MUNGU MUUMBAJI kwa kuonyeshwa maono au kuota ndoto zenye kuwaelekeza namna ya kuepuka mambo yanayoweza kuwadhuru sasa au baadae.

huenda pia wakawepo watu wanaolindwa na Ibilisi kama alivyokuwa farao wa misri ya kipindi hicho.

chonde chonde kama hujui chochote kuhusu mada hii ya spiritual intelligence pita pembeni tu au usome kimya kimya bila kukomenti utoto.

karibuni wajuzi.
 
mfano wa pili ni ikulu ya farao katika kitabu cha mwanzo inaonyesha kuwa ilikuwa na wataalamu wa mambo ya kiroho kwa imani ya farao au ya kimisri, kwa mfano ikulu ilikuwa na waganga, wasihiri na wengineo ambao walitumika kumlinda farao dhidi ya adui zake wa kipindi hicho
Salute mkuu Sokoro..
Umeeleza vizuri sana lakini hapo kwenye watu wa farao umeharibu kidogo. Unajua kunatofauti kati ya Uchawi/Uganga na matumizi ya Nguvu za kiroho/Power within. Kiukweli wale wa misri walikua ni waganga,wanajimu na wapiga ramli. Walichokua wanakifanya kilikua kinyume na Mungu. Mkuu unajua pia matumizi ya hayo mnayoita kua ni Mambo ya kiroho pia ni kinyume na Mungu..? Waliotufundisha taaluma hiyo ni wale malaika waaasi 200. Wewe destiny yako anayeijua ni Mungu wako (If u believe ni God) kwanini usumbuke kutaka kujua kesho itakuaje? Kula kwako, usalama wako,kuishi kwako n.k kupo mikononi mwa Mungu acha kuisumbukia kesho Anaijua Mungu.
 
Mkuu kama hutojali, tafadhali tupe ushahidi kuonyesha malaika waasi 200 ndio waliofundisha matumizi ya nguvu za kiroho
 
Mkuu kama hutojali, tafadhali tupe ushahidi kuonyesha malaika waasi 200 ndio waliofundisha matumizi ya nguvu za kiroho[/QUOTE
And Azâzêl taught men to make swords, and knives, and shields, and breastplates, and made known to them the metals of the earth and the art of working them, and bracelets, and ornaments, and the use of antimony, and the beautifying of the eyelids, and all kinds of costly stones, and all colouring tinctures. And there arose much godlessness, and they committed fornication, and they were led astray, and became corrupt in all their ways. Semjâzâ taught enchantments, and root-cuttings, Armârôs the resolving of enchantments, Barâqîjâl, taught astrology, Kôkabêl the constellations, Ezêqêêl the knowledge of the clouds, Araqiêl the signs of the earth, Shamsiêl the signs of the sun, and Sariêl the course of the moon.

Mkuu hapo kwenye rangi nyekundu umeelewa?
Cc
Iyegu
 
Mkuu haya maelezo umeyatoa wapi/source?
 
Unaweza Kujua Kinachotokea Kesho? Kwako Au Kwa Ndugu Yako?

Kupitia Kuzama Rohoni?

Unajua Kesho? Kweli Mleta Mada?

Cc Da'Vinci
 
heko kwenu wadau wa hili jukwaa la wachache,

Mimi binafsi huwa natumia spiritual intelligence kuweza kutambua kama niko salama, nitakuwa salama kesho au kuna jambo baya laweza nitokea baadae ama likamtokea ndugu yangu wa karibu au rafiki pia. Hata hivyo kuna mengine huwa siwezi yaona katika ulimwengu wa kiroho maana Mola hunionyesha anachotaka nijue, asichotaka hunishitukiza tu na kutokea ghafla.

Ninaposema spiritual intelligence namaanisha 'UJUZI WA MAMBO YA KIROHO' yaani mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ila yapo na huenda yakakutokea hata leo au kesho.

jambo hili limekaa kiimani lakini bado linabaki lenye maana na umuhimu mkubwa sana kwa ulinzi wa mtu yeyote yule.

wale wasomaji wa biblia na wanaoamini katika biblia au imani nyingine watakuwa wanaelewa ninachozungumza hapa, kwasababu kwenye biblia kuna mifano kadhaa inaelezea jambo hili kwa ufasaha zaidi,

mfano wa kwanza ni Yusufu wa kitabu cha mwanzo yaani mwana wa yakobo alionyeshwa ndoto iliyoonesha baba yake na wakubwa zake wanamuinamia, alipoisema ndoto hii wakubwa zake walimchukia na kumkebehi lakini baada ya miaka kadhaa baadae walikuja kumsujudia yusufu kule nchini misri wakati alipokuwa waziri wa chakula na baadaye waziri mkuu.

mfano wa pili ni ikulu ya farao katika kitabu cha mwanzo inaonyesha kuwa ilikuwa na wataalamu wa mambo ya kiroho kwa imani ya farao au ya kimisri, kwa mfano ikulu ilikuwa na waganga, wasihiri na wengineo ambao walitumika kumlinda farao dhidi ya adui zake wa kipindi hicho.

lakini mbali na hilo kuna watu kadhaa katika dunia hii wamewahi kuota au kuona kuwa kama siku fulani wangesafiri bhasi wangepata ajali na kufa au kuumia, walipoahirisha kusafiri ajali ilitokea na ikaua watu kama alivyoota au kuona katika maono.

wengine hawaoti wala kuona maono lakini nafsi zao huwazuia kabisa kufanya kitu fulani iwapo tu kitawaletea hatari fulani katika maisha.

Najiuliza tu hivi ikulu kuna wataalamu wa haya mambo ya kiroho ili kuipambanua kesho ya nchi fulani/mtawala au kiongozi fulani katika ulinzi na mengineyo?

karibuni wajuzi.
Kuna ukweli mkuu, Mimi hunitokea Sana nafsi kusita Kufanya jambo na tangu nijijue basi ikisita naacha, 2014 nilinusurika kifo kama nafsi isingenisuta baas ningekuwa marehemu
 
Salute mkuu Sokoro..
Umeeleza vizuri sana lakini hapo kwenye watu wa farao umeharibu kidogo. Unajua kunatofauti kati ya Uchawi/Uganga na matumizi ya Nguvu za kiroho/Power within. Kiukweli wale wa misri walikua ni waganga,wanajimu na wapiga ramli. Walichokua wanakifanya kilikua kinyume na Mungu. Mkuu unajua pia matumizi ya hayo mnayoita kua ni Mambo ya kiroho pia ni kinyume na Mungu..? Waliotufundisha taaluma hiyo ni wale malaika waaasi 200. Wewe destiny yako anayeijua ni Mungu wako (If u believe ni God) kwanini usumbuke kutaka kujua kesho itakuaje? Kula kwako, usalama wako,kuishi kwako n.k kupo mikononi mwa Mungu acha kuisumbukia kesho Anaijua Mungu.
Hatuendelei kwa Sababu hii, ikiwezekana Piga Hata Hesabu ya Miaka 600 Mbele
 
Kuna mzee mmoja mfanyakazi wa bakheresa anamfanyia kazi hiyo tu. Hukaa kama bawabu, mbali na wageni rasmi, yeye hudili na wale wenye kutaka kumuona kwa shida binafsi au kusaidiwa kibiashara. Mzee akikuruhusu utaenda akikataa hutamuona ng'o wanasema ana makarama nafkiri ni aina fulani ya pepo za utambuzi. Sina hakika kama no hiki unachomaanisha mtoa post
 
heko kwenu wadau wa hili jukwaa la wachache,

Mimi binafsi huwa natumia spiritual intelligence kuweza kutambua kama niko salama, nitakuwa salama kesho au kuna jambo baya laweza nitokea baadae ama likamtokea ndugu yangu wa karibu au rafiki pia. Hata hivyo kuna mengine huwa siwezi yaona katika ulimwengu wa kiroho maana Mola hunionyesha anachotaka nijue, asichotaka hunishitukiza tu na kutokea ghafla.

Ninaposema spiritual intelligence namaanisha 'UJUZI WA MAMBO YA KIROHO' yaani mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ila yapo na huenda yakakutokea hata leo au kesho.

jambo hili limekaa kiimani lakini bado linabaki lenye maana na umuhimu mkubwa sana kwa ulinzi wa mtu yeyote yule.

wale wasomaji wa biblia na wanaoamini katika biblia au imani nyingine watakuwa wanaelewa ninachozungumza hapa, kwasababu kwenye biblia kuna mifano kadhaa inaelezea jambo hili kwa ufasaha zaidi,

mfano wa kwanza ni Yusufu wa kitabu cha mwanzo yaani mwana wa yakobo alionyeshwa ndoto iliyoonesha baba yake na wakubwa zake wanamuinamia, alipoisema ndoto hii wakubwa zake walimchukia na kumkebehi lakini baada ya miaka kadhaa baadae walikuja kumsujudia yusufu kule nchini misri wakati alipokuwa waziri wa chakula na baadaye waziri mkuu.

mfano wa pili ni ikulu ya farao katika kitabu cha mwanzo inaonyesha kuwa ilikuwa na wataalamu wa mambo ya kiroho kwa imani ya farao au ya kimisri, kwa mfano ikulu ilikuwa na waganga, wasihiri na wengineo ambao walitumika kumlinda farao dhidi ya adui zake wa kipindi hicho.

lakini mbali na hilo kuna watu kadhaa katika dunia hii wamewahi kuota au kuona kuwa kama siku fulani wangesafiri bhasi wangepata ajali na kufa au kuumia, walipoahirisha kusafiri ajali ilitokea na ikaua watu kama alivyoota au kuona katika maono.

wengine hawaoti wala kuona maono lakini nafsi zao huwazuia kabisa kufanya kitu fulani iwapo tu kitawaletea hatari fulani katika maisha.

Najiuliza tu hivi ikulu kuna wataalamu wa haya mambo ya kiroho ili kuipambanua kesho ya nchi fulani/mtawala au kiongozi fulani katika ulinzi na mengineyo?

karibuni wajuzi.
Sidhani kama anao sababu most of walinzi wake wanakuwa recruited from military. Mafunzo yao yanabase sana kwenye talent na physical world than spiritual.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom