Je mapenzi yanaweza kuathiri taaluma ya wnafunzi wa elimu ya juu.

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Toka nyuma inajulikana kua wanafunzi wa sekondary wanabanwa wasishiriki mapenzi,na wanapofika chuoni wengine wana element za utoto,na maisha ya chuo ni kujipangia,je unadhani kujiingiza katika mahusiano kunaweza kushusha gpa yako,ama kiwango cha kufaulu,bumija-mkwawa campus.
 
Wapo wengi tu wanaokuwa na wapenzi vyuoni na hata wengine ni wake za watu kabisa. cha msingi mtu ujue kupanga muda wako vizuri, muda wa shule usiingiliwe na mambo ya kimapenzi, ukiwa free mpe mwenzio vitu motomoto. Jitahidi tu kwa wale wapenzi, uwe na mpenzi wa dhati na we mwenyewe uwe mwaminifu kwa mwenzio. kukosekana kwa uaminifu kwenye uhusiano ndiko kunakowafanya watu washindwe kuendelea vizuri na masomo yao."when love goes wrong, nothing goes right".
 
Kwa mtizamo wangu mimi naona huwa inategemea na uzoefu wa mtu kwenye sekta ya Mapenzi!!!
 
Mzee,so kua nahitaji,ila nazunumzia hivyo mana kuna uhuru na freshers walizoea kubanwa
 
Mzee,so kua nahitaji,ila nazunumzia hivyo mana kuna uhuru na freshers walizoea kubanwa

hili jamaa toto la mama kweli sasa wewe kubwa zima utabanwaje? Kazi unayo sasa mademu bwelele hapo,kwa sisi wazoefu wa sekta kumega kama kawa na gpa inasimamishwa kileleni halafu kawaida sana....
 
Mzee,so kua nahitaji,ila nazunumzia hivyo mana kuna uhuru na freshers walizoea kubanwa

kwanini unapenda kufata mawazo ya watu. Wewe akili yako inafanya nini, kama unashindwa kujingia taratibu za maisha yako you better die.
 
rumande?au amegongwa nyundo ya murder au manslaughter?

rumande vipi mkuu wakati ushahidi wote upo mezani halafu ndugu na jamaa wameona bora apotee asije kuchinja watoto,kwahiyo hakuna rufaa.IT A MURDER and he was sentenced to death.
 
Yule mkurya nilisikia habari zake,wadau mnafuatilia sana news
 
So kua ninahitaji mpenzi,ila nauliza sb mapenzi yamepewa nafasi elimu ya juu na hata watu wanajiua,na sicho kilicho kuleta chuo
 
Yule mkurya nilisikia habari zake,wadau mnafuatilia sana news

wewe dogo hivi unajiona kuanza hapo mlimani wewe ndio wa kwanza? Chuo kina miaka 50,hostel za mabibo zimezinduliwa 2001,nilikaa pale block C enzi hizo nipo MUCHS(now MUHAS) Kabla hakijajitegema kama chuo binafsi 2007,so hizo hostels kitambo sana tumeishi hapo.
 
usitumie nguvu nyingi huyu jamaa. Ndio maana nashauri watoto wetu tusiwaweke mbali na hizi ICT huyu jamaa ni mgeni kwenye huu ulimwengu.
 
Back
Top Bottom