Je mapenzi yana formula????

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Nimekuwa nikijiuliza mambo haya kwa muda mrefu sasa,utakuta dada wa watu ana hela akaolewa na kijana hohehahe wanakaa kwa muda kidogo wanaachana,mwingine mwanaume ana hela pia ni handsome lakini mwanamke anamuacha anaenda kuolewa na jamaa kapuku mbaya,hii maana yake nini????
 
Kila ndege hutua mti aupendao . personal attribute hazikufanyi wewe upendwe na mme/mke
 
Nimekuwa nikijiuliza mambo haya kwa muda mrefu sasa,utakuta dada wa watu ana hela akaolewa na kijana hohehahe wanakaa kwa muda kidogo wanaachana,mwingine mwanaume ana hela pia ni handsome lakini mwanamke anamuacha anaenda kuolewa na jamaa kapuku mbaya,hii maana yake nini????

Mapenzi sio vitu ni roho ikipenda wewe huoni wake za wakubwa wanachukua mahouseboy wao. Kisa ni kwamba hao wako busy na kutafuta mkwanja na wanajua kuwa hata wakifanya nini wake zao hawawezi kuondoka kisa wako na pesa.
 
no formula at all ila vitus na maelewano ndo huashiria kudumu kwa mahusiano. pia mapenzi ya siku hizi ni easy come easy go..
 
Nimekuwa nikijiuliza mambo haya kwa muda mrefu sasa,utakuta dada wa watu ana hela akaolewa na kijana hohehahe wanakaa kwa muda kidogo wanaachana,mwingine mwanaume ana hela pia ni handsome lakini mwanamke anamuacha anaenda kuolewa na jamaa kapuku mbaya,hii maana yake nini????

Mbona naona kama umeshajibu swali lako???mapenzi hayana formula ndo maana hayaeleweki....ila kuna formula ya kufanya ili uwe unapendwa!!
 
  • I don't know who you are, but whatever it is, I'm sure everyone will agree with me.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom