Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

Kama sijaona mtu aliyetekwa, utaniaminisha vipi kwamba watu wanatekwa. Vile vile Kuna uthibitisho wowote kwamba hayati Magufuli aliteka watu. Na kutekwa kwa watu Kuna uhusiano gani na fani yake ya mziki. Kwanini mlazimishe akili zifanane
Roma alikuwa ameenda kutalii?
 
Huu kwa mimi naona wivu tu.
Diamond hata akitolewa bet hatapungua chochote.
Na diamond hata akitolewa bet hataweza kufanana na lissu,wala hatafanana na kigogo wala godbless lema.
Wao wapambane wawatoe akina halima mdee mjengon ndio majukum yao ya msing.
Waache wivu wao wa kike.Aliyepewa kapewa hata wakifanyaje hawataweza kumfikia diamond
 
Huyo alitoa hoja akili Hana hizi ni tuzo za burudani si za siasa
Iwe burudani iwe sanaa... iwe sijui nini ila "yeyote ashirikiye uovu ni mwovu hata kama ni nduguyo au mzazi wako..." yapasa akanywe... yapasa aonywe... ikiwa yeye alijipachika kusiko basi atokeze atubu... ikiwa yeye alitumika kisiasa basi na ajitokeze aseme sababu... ikiwa alitishwa si aseme tu "fdenge alijiteua kuwa mlezi wetu..." sidhani kama haya yooote yatajitokeza... kelele zikizidi huyu mtoto ataporomoka!!!
 
Chadema imejaa utoto mwingi. Kama kinahitajika chama mbadala, kinachoweza shika madaraka baada ya CCM, tuandae chama, kingine. Chadema si chama sahihi
Sidhani kama cdm wanahusika na hili ila nikionacho ni "...mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!!" Nimedondoa hilo andiko ili mfano utimie kwa wenye akili ya kuijua kesho... wajijua wewe ni mwanamuziki sijui msanii na una wapenzi au mashabiki si wa chama fulani pekee... kisha unaamua kuwa mpumbavu aidha kwa kushawishiwa na wapumbavu au njaa... haikutoshi kupanda majukwaani unaona ili kutimiza matakwa ya njaa yako au uchawa "unatukana na kukejeli wapenzi na mashabiki wako kwa sababu unaiona leo na kwa ule upumbavu unamtumai mwanadamu..."
Sisemi mengi ila kuna funzo na kama hakujifunza na wanaodhani anaonewa sana "ati na cdm!!" Nina mashaka na "afya ya kufikiri kwao!" Je ROMA alipofikwa mondi alikuwa upande gani?
Wakikubali kutumika wajue kuna malipo na wakianza kulipwa kwanini wanalialia?
Kama ambavyo "CDM na MABEBERU walivyovuruga uchumi na kutuchelewesha kupata maendeleo..." ndivyo ambavyo wamesababisha tuwe na majizi ya mafuta na mali zingine za umma huku tukiwa na madc na marc wenye tuhuma za maovu na uhujumu uchumi huku bunge likijaa wanacdm!!!
 
Mna double standards .Angekuwa Kiba au Harmonize anagombea tuzo mngefanya mnayoyafanya? Maana percent kubwa ya wasanii wanashiriki kampeni za CCM, sasa why Mondi? Hii vita hamtashinda
 
Mna double standards .Angekuwa Kiba au Harmonize anagombea tuzo mngefanya mnayoyafanya? Maana percent kubwa ya wasanii wanashiriki kampeni za CCM, sasa why Mondi? Hii vita hamtashinda
Wala hakuna apiganae vita na wajinga wafuata mkumbo au wachumia tumbo... kuna kitu hamjifunzi ila ujumbe umefika la si hivyo KWANINI PRESHA ZINAWAPANDA NA BWANA YENU ALIPOA GHAFLA?
 
Itachukua muda mrefu sana watu kujifunza kaka,maana hawajui kutofautisha ushabaki wao kwa mtu na wajibu wa mtu wanae mshabikia kwa mashabiki wake,ni sawa na rafiki yako kipenzi mwenye biashara yake ya juice unaipenda juice yake na wewe unamchangia kila siku kwa kununua juice yake halafu anakuja mtesi wako anasimama nae na wala hapazi sauti yake kukutetea unaumia,unateseka yeye yupo kimya na wala haishi kumsifia mtesi wako utakuwa na akili timamu kuendelea kumpenda na kumwinua? jibu ni hapana ila tunateswa na ujinga wetu wenyewe ni wakati sasa wa kuwafundisha hawa watu wajitambue.
 
Watanzania waliopo mitandaoni ndio watanzania halisi wanaojitambua, hata mama analielewa hilo na mara nyingi anafanyia kazi mawazo /hisia zao....

Ushauri kwa Diamond.
______________________

1......Hujachelewa,... waombe radhi watanzania, humu humu mitandaoni, hata km ukakosa/ukapata BET lakini kumbuka safari yako ya mziki inahitaji sana hawa watu kuliko wanavyokuhitaji wewe...kuendelea kutunishiana misuli na wanamitandao kupitia hawa chawa wako wachache wasio na uwezo wa kujenga hoja , sio unapoteza zaidi muda tu" bali unahitimisha mwisho wa safari yako as a musician hapa duniani.

2......ile nyimbo ya " baba lao" ilikuwa curse kubwa sana kwa wale wote uliowataja mule ... nakushauri ifute (istopishe) inakuletea nuksi...kwani kilichobaki kupotea mule ni lile "CHAMA LAO"

mwisho , Hili ni fundisho kwa wengi ambao wenye njaa ya pesa, .... kuwa pesa sio kila kitu.
 
Wala hakuna apiganae vita na wajinga wafuata mkumbo au wachumia tumbo... kuna kitu hamjifunzi ila ujumbe umefika la si hivyo KWANINI PRESHA ZINAWAPANDA NA BWANA YENU ALIPOA GHAFLA?
Pambana na kutatua shida za familia yako na ukoo wako. Kumchukia mtu ambaye si sababu ya umaskini wako haikusaidii jinga wewe
 
Back
Top Bottom