Je mapacha ni baraka au ..............

mtoto wa mfugaj

Senior Member
Jul 18, 2011
136
29
jamani wana jf kwa muda mrefu nimekua nikitafakari kua je watoto mapacha ni baraka au si baraka kua nao?? kuanzia swala la malezi ya mimba, kuzaliwa,kwenda shule hadi wakiwa wakubwa.
nahitaji your opinion wana jf
 
kwa nini unatatizwa na hao mapacha.........................kumbuka kuna mapacha wa aina nyingi sana...................including Siamese twins......quintuplet.......n.k.......wewe unawalenga wapi na kwa nini............
 
jaman mimi nina mapacha ndo wanamiezi miwili ebu niambieni bahati zao ni zipi wa kwangu ni wakike na wakiume
 
Ni baraka tena nyingi sana,bisha uone[/QUOTE]

Tena akibisha hata mm ntakusaidia kumchangia mangumi,....iweje watoto waliozaliwa binadam kama yeye halaf yeye ahoji uhalali wao,....na huu ni unyama wa aina nyingine
 
Back
Top Bottom