Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

bikira mimi

Member
Feb 15, 2013
24
11
Naombeni kujua iwapo mume wangu atapiz mdomoni kwangu na nikazimeza shahawa zake je, kuna athari zozote za kiafya?
 
Sex za utandawazi mwanamke kunyonya mua na mwanaume kunyonya k na m
 
Naombeni kujua iwapo mume wangu atapiz mdomoni kwangu na nikazimeza shahawa zake je, kuna athari zozote za kiafya?
Je mna watoto wadogo? Kama mnao usiwe unawabusu, utawapakaza shahawa.

Chagua jibu linalokupendeza, kama halipo endelea ku google au ku bing.


Answer1:

There are no side effects to swallowing a "sperm", other than the death of the sperm cell. Although seminal fluid is there to clean any urine from the track, as a rule, I believe seminal fluid is also harmless, other than possibly having a small amount of urine in it. Some people are revolted at the thought of swallowing it due to the problem of the donor of the semen possibly being infected with organisms that can be transmitted to others through semen. HIV can be transmitted through semen, and I have read that it is likely that it can be transmitted through pre-ejaculate as well.

[h=2]Answer2:[/h]It may cause stomach upset as it contains enzymes that interact with mucous membranes. These enzymes help to facilitate successful fertilization in the womb, but they can also affect the mucous membranes of the digestive tract when swallowed and cause indigestion and stomach pain.
 
Je kama zina wadudu? Ndugu yangu alivimba matezi ya kooni, akawa anapata maumivu ya koo wakati wa kumeza, alipoenda hospitali pamoja na kumpa dawa walichukua kipimo kinaitwa throat swab for gram stain,culture and sensitivity.Majibu yalipokuja yakaonyesha vijidudu vinaitwa Nisseriae gonorrhoea.daktari akampa dawa huku akimsisitizia kuwa oral sex sio mchezo mzuri.kwa kweli kidogo wagombane na daktari hata mie niliyekuwa nje ilibidi niingie kumtoa nje na nikawa nimejua siri hii.labda asingetupiana maneno na huyu dokta eti "AMETUKANWA" nisingejua siri hii
Naombeni kujua iwapo mume wangu atapiz mdomoni kwangu na nikazimeza shahawa zake je, kuna athari zozote za kiafya?
 
Mkuu kuna thread ilianzishwa miezi kama 3 itafute uisome michango mbalimbali.
Ila hakuna madhara ila ni hatari maana unaweza kunywa mbegu zenye Gono,Kaswende n.k

Niliwahi sikia kuwa kuna mtu alipata Gono la koo kwa kunyonya vitu vya namna hiyo.
Lakini ni hatari maana siku hizi maradhi mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom