Je, maneno ya Nyerere kwamba CHAMA GOIGOI HUZAA SERIKALI GOIGOI yanaelekea kutimia?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wakuu,
Katika moja ya hotuba zake, Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa chama goigoi huzaa serikali goigoi. Je, mwenendo wa nchi hivi sasa unaashiria kutimia kwa maneno hayo ya Nyerere?
 
Yalishatimia mkuu tena Nyerere angali hai na yanaendelea kutimia......hatua zichukuliwe,magoigoi yanamalizia nchi hii.......
 
Kama huoni ugoigoi wa ccm na serikali yake, nakushauri ukapime macho upate miwani.
 
Back
Top Bottom