Je, Mandela aliwauza Waafrika Kusini kwa uhuru hewa?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Pasipo na shaka miaka ya mwanzoni ya 1990s ulikuwa dhahiri kabisa afrika kusini utapata Uhuru wake, mwingereza alichofanya ni kuachia kilo na Nuru ya Jamii ya waafrika aliefungwa jela miaka 25, Nelson Mandela.

Alipewa airtime kwenye media kubwa na heshima miongoni mwa wazungu na mataifa yao , malikia wa uingereza pia alizibariki sana jitihada zake, msiba wake ulihudhuriwa na viongozi wengi wa ulaya, n.k

Hapa kwenye vyombo vya habari walimpaisha sana Mandela, kumbuka hivi vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana ndio maana hata uchaguzi wa mwaka 96 wa urusi raisi alieshinda ni yule dictator aliepewa airtime ya kuonekana mwema kuliko wapinzani wake waliotabiriwa kushinda.

Afrika kusini ulikuwa na ardhi pamoja na miradi mingi sana iliyomilikiwa na waingereza hususan familia ya kifalme ya uingereza, endapo Africa kusini ingepata uhuru ambao ungefukuza wazungu basi ardhi pamoja na miradi ya waingereza ingekuwa chini ya serikali mpya ya Africa kusini, hili lingekuwa n pigo kubwa sana kwa kwa waingereza.

Huenda nelson Mandela aliekuwa kipenzi cha wapigania Uhuru wa Africa kusini aliachiwa kwa makusudi kabisa ili tu nchi iwe huru na iongozwe na mwafrika ila ardhi pamoja na miradi iendelee kubali kwa wazungu.

Leo hii afrika kusini asilimia 5 ni wazungu wanaomiliki asilimia 70 ya ardhi ya kilimo kwenye nchi hio, uchumi wa Africa kusini unaendeshwa na wazungu pamoja na makaburu. Waafrika wenye nchi yao ni kama vile waliachiwa Uhuru hewa.

Mbaya zaidi wesauzi wengi sana hawana elimu, hii imefikia hadi levo ya rais wao Jacob Zuma alietuacha midomo wazi kwa kudai kwamba alilala na mwanamke mwenye ukimwi ila walivyomaliza ku-do alienda kuoga na sabuni ili avitoe virusi, ni Huyu Huyu pia alieshikwa kichwa na Gupta family huku akiwakacha waafrika.
 
Zimbabwe waliwafukuza mabeberu na kugawa ardhi kwa wazalendo. Nadhani matokeo yake unayajua.
Mandela aliona mbali sana ndio maana mpaka leo ulimwengu unamkumbuka kama mtu shujaa ukilinganisha na Mugabe
 
MANDELA sio shujaaa,MANDELA aligeuka na kuwa kubaraka wa wakoloni.kitu gn alikuwa anapigania,kuna watu wamekufa kw ajiri yake,lkn akaishia kuwasaliti.
 
Pasipo na shaka miaka ya mwanzoni ya 1990s ulikuwa dhahiri kabisa afrika kusini utapata Uhuru wake, mwingereza alichofanya ni kuachia kilo na Nuru ya Jamii ya waafrika aliefungwa jela miaka 25, Nelson Mandela.

Alipewa airtime kwenye media kubwa na heshima miongoni mwa wazungu na mataifa yao , malikia wa uingereza pia alizibariki sana jitihada zake, msiba wake ulihudhuriwa na viongozi wengi wa ulaya, n.k

Hapa kwenye vyombo vya habari walimpaisha sana Mandela, kumbuka hivi vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana ndio maana hata uchaguzi wa mwaka 96 wa urusi raisi alieshinda ni yule dictator aliepewa airtime ya kuonekana mwema kuliko wapinzani wake waliotabiriwa kushinda.

Afrika kusini ulikuwa na ardhi pamoja na miradi mingi sana iliyomilikiwa na waingereza hususan familia ya kifalme ya uingereza, endapo Africa kusini ingepata uhuru ambao ungefukuza wazungu basi ardhi pamoja na miradi ya waingereza ingekuwa chini ya serikali mpya ya Africa kusini, hili lingekuwa n pigo kubwa sana kwa kwa waingereza.

Huenda nelson Mandela aliekuwa kipenzi cha wapigania Uhuru wa Africa kusini aliachiwa kwa makusudi kabisa ili tu nchi iwe huru na iongozwe na mwafrika ila ardhi pamoja na miradi iendelee kubali kwa wazungu.

Leo hii afrika kusini asilimia 5 ni wazungu wanaomiliki asilimia 70 ya ardhi ya kilimo kwenye nchi hio, uchumi wa Africa kusini unaendeshwa na wazungu pamoja na makaburu. Waafrika wenye nchi yao ni kama vile waliachiwa Uhuru hewa.

Mbaya zaidi wesauzi wengi sana hawana elimu, hii imefikia hadi levo ya rais wao Jacob Zuma alietuacha midomo wazi kwa kudai kwamba alilala na mwanamke mwenye ukimwi ila walivyomaliza ku-do alienda kuoga na sabuni ili avitoe virusi, ni Huyu Huyu pia alieshikwa kichwa na Gupta family huku akiwakacha waafrika.
Mandela alikuwa sahihi watu weusi ni lazima waongozwe, hiyo miradi wangeachiwa wao ingebaki story , tubadilike jamani
 
Back
Top Bottom