Je, Mandela aliwasaliti Waafrika kwa kuwapa uhuru hewa?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,351
Pasipo na shaka miaka ya mwanzoni ya 1990s ulikuwa dhahiri kabisa afrika kusini utapata Uhuru wake, mwingereza alichofanya ni kuachia kilo na Nuru ya Jamii ya waafrika aliefungwa jela miaka 25, Nelson Mandela.

Baada ya nelson Mandela kuachiwa alipata kuonekana katika vyombo vya habari mno, alitunzwa vizuri sana na wazungu, malikia wa uingereza pia alizibariki sana Mara nyingi jitihada za nelson Mandela kuikomboa Sauzi.

Hapa kwenye vyombo vya habari walimpaisha sana Mandela, kumbuka hivi vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana ndio maana hata uchaguzi wa mwaka 96 wa urusi raisi alieshinda ni yule dictator aliepewa airtime kuliko wapinzani wake waliotabiriwa kushinda.

Afrika kusini ulikuwa na ardhi pamoja na miradi mingi sana iliyomilikiwa na waingereza hususan familia ya kifalme ya uingereza, endapo Africa kusini ingepata uhuru ambao ungefukuza wazungu basi ardhi pamoja na miradi ya waingereza ingekuwa chini ya serikali mpya ya Africa kusini, hili lingekuwa n pigo kubwa sana kwa kwa waingereza.

Huenda nelson Mandela aliekuwa kipenzi cha wapigania Uhuru wa Africa kusini aliachiwa kwa makusudi kabisa ili tu nchi iwe huru na iongozwe na mwafrika ila ardhi pamoja na miradi iendelee kubali kwa wazungu.

Leo hii afrika kusini asilimia 5 ni wazungu wanaomiliki asilimia 70 ya ardhi ya kilimo kwenye nchi hio, uchumi wa Africa kusini unaendeshwa na wazungu pamoja na makaburu. Waafrika wenye nchi yao ni kama vile waliachiwa Uhuru hewa.

Mbaya zaidi wesauzi wengi sana hawana elimu, hii imefikia hadi levo ya rais wao Jacob Zuma alietuacha midomo wazi kwa kudai kwamba alilala na mwanamke mwenye ukimwi ila walivyomaliza ku-do alienda kuoga na sabuni ili avitoe virusi, ni Huyu Huyu pia alieshikwa kichwa na Gupta family huku akiwakacha waafrika.
 
Mandela alikuwa bonge la boya. Ukitaka kuthibitisha hilo angalia alivyopewa airtime na heshima miongoni mwa wazungu na mataifa yao alafu ujiulize alikuwa na nini zaidi ya watu kama Nyerere.

Ukisoma kitabu chake cha long walk to freedom na kitabu cha 100 years of Mandela’s ANC utagundua kwamba mpuuzi alinunuliwa na wazungu hata kabla ya kuachiliwa huru hadharani.

Ndo maana unaona leo kina Malema wameinuka
 
Kwa kipindi hicho Mandela alikuwa sahihi kabisa kwa sababu aliamini kuwa uhuru wa bendera ungeleta tija sana kwa wananchi wake. Alijua kuwa akipata uhuru wa bendera hata kiuchumi na kijamii angekuwa huru Zaidi ila mwisho wa siku ikawa tofauti.
 
Mandela hana adabu kabisa...alisaliti Ukombozi kusin mwa Afrika..aibu kwake...Hata kwenye mazishi ya Nyerere aliyejitoa sana katika harakati za ukombozi wa Nchi yake ...ZIII hakuhudhuria alikuwa Usa anakula raha
 
Wabongo bwana!Mandela Kwa upande fulan alikua sahihi coz angewafukuza wazungu SA isingekua na uchumi ambao wanao na hayo maendeleo.SA Ni kama ULaya Ya Africa Hata kama kuna slams zile za Soweto.Chukulia mfano Mdogo wa Zimbabwe alipowafukuza wazungu nini kilitokea.Kutoka nchi iliyokua na uchumi IMara mpaka kuja kupewa Msaada wa Chakula na Tz wakati wao Ndio walikua wazalishaji wakubwa was chakula.Mandela kama binadamu wengine ana mapungufu Yake ila kuwaacha wazungu hakukosea.Ramaphosa anaweza akafanya marekebisho haswa Kwenye suala zima la ardhi ambayo haitumiki wakapewa wazawa.
 
Yani hapa hoja yako haina utofauti na kuishi na rafiki yako nyumba moja anaemfanya mke wako ameremete na mtaa mzima unajua kwamba anaemfanya mke wako ameremete ni rafiki yako mnaeishi nae ndani.

Meneo ya kishua kama sandton huko south africa yamejaa wazungu na wanaijeria, ila ukienda maeneo ya slums kama soweto ndiko walikojaa waafrika kusini wa asili

kuna hii ripoti ilitolewa ikaonyesha kwamba asilimia 72 ya ardhi ya afrika kusini inamilikiwa na wazunguu, makaburu wakimiliki asilimia 15, wahindi asilimia 5 huku waafrika wakiwa na asilimia 4 tu!!!!!!!!
 
Bro mfano wako sio halisi,Mzungu angefukuzwa SA uchumi ungeporomoko kubali kataa.Mke kitu kingine uchumi wa Nchi kitu kingine.Suala la ardhi ndio maana nikasema Ramaphosa anaweza chukua ardhi isiyotumiwa na kuwapa wazawa weusi akisema awanyang'anye kabisa tutarudi Kule kule kwa Zimbabwe!
 
Mandela alipigania uhuru wa kisiasa na waliupata ila kuhusu uchumi hilo ni jukumu la viongozi na raia waliobaki/waliofata baada yake ni Kama sisi Tz Uhuru wa bendera tulishaupata kwa juhudi za Nyerere na Wazee wengine wapigania Uhuru kuhusu maendeleo ya kiuchumi ni jukumu letu sisi tuliopo sasa.
 
Mandela alifanya kitu cha maana sana asingefanya ivyo angeacha africa kusini.. Kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe.. Afu pia wazungu wasingekubali wasungu wenzao wanyanyaswe na Majority Blacks.. Wazungu wa Euripe wangejitikeza kuwasadia whites ingekuwa vita isiyo isha.. Na weusi tusingeshinda trust me.. Wangeifanya kama zimbabwe
 
Hapa Capetown jirani yangu kuna gereza linaitwa pozmo,hapa ndio unaambiwa mzee alipofumuliwa marinda kwelikweli.Yan alitoka akiwa hajiwezi tena ndio maana Winnie akasepa.
Mkuu mwogope Mungu unahuhakika na ulisemalo? Kumbuka yule ni babu yako na huko aliko anakuona!?
 
Wabongo buana unaongelea makaburu kumiliki %
kubwa ya uchumi wa S.Afrika, lakini una sahau ya kwamba uchumi wa nchi yako pendwa ya TZ 80%ya uchumi wake unamilikiwa na wahindi na warabu ambao ni sawa na 1%ya raia wote wa tz.
Wakati sisi tunaojiita wenye nchi ambao ni zaidi ya 99% tukimiliki 20% tu.
Kumlaumu mandera ni makosa ,matatizo yanayo wakumba was.Africa haya jasababishwa na mandera.
% kubwa ya wa Africa kusini ni wazembe na hawataki kufanya kazi.
 
Kama sisi tunataka mteremko

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom