Je manaibu waziri nao wata wajibishwa??

uboya

Member
Mar 26, 2013
65
19
Tulio kiona bungeni ni kufukuzwa kazi kwa mawaziri watatu na mmoja kujiwajibisha mwenyewe. swali je manaibu waziri hawausiki katika hili sakata la TOKOMEZA UJANGILI? Vip kuhusu IGP na mkuu wa majeshi?? Hebu tujadili kwa hoja.
 
Back
Top Bottom