Je mambo yakoje Igunga leo?

Esoterica

Member
Jun 18, 2011
48
11
Hamjambo Wakuu??????????

Niko mbali sana na Igunga na ningependa kujua hali ya mambo yalivyo kule Igunga.

Baada ya yote yaliyotokea na hasa kila chama kubadilisha mbinu za kufanya kampeni,

Je chama gani kina-mvuto katika kampeni zake na mwelekeo wa kushinda?
 
Wakuu hamjmbo?

Zikiwa zimebaki siku 10 kufikia uchaguzi wa Igunga ninaomba mtujuze hali ya mabo ikoje huko?

Nani anafanya vizuri hadi sasa?
 
Hamjambo Wakuu??????????

Niko mbali sana na Igunga na ningependa kujua hali ya mambo yalivyo kule Igunga.

Baada ya yote yaliyotokea na hasa kila chama kubadilisha mbinu za kufanya kampeni,

Je chama gani kina-mvuto katika kampeni zake na mwelekeo wa kushinda?
huku watu wamelala,vip huko ndo mnaamka? kapige mswaki kwanza
 
Igunga magamba ndo yana mvuto ukitegemea na ujinga walio nao washamba waigunga wanaamini hujuma za kivita zinazoendelea huko zinafanywa na wafuasi wa chadema lakini njia ya mwongo ni fupi sana iko siku magamba yatalia na kusaga meno.
 
Back
Top Bottom