Je, Makonda ni mpango maalum wa kisiasa?

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Habari zenu wanajamii?

Kama nilivyokuja na swali hapo juu.

Nimekuja na swali lenye mtazamo ambalo limenifikirisha kwa muda mrefu sasa. Nimejaribu kujiuliza kuwa je, mh mstaafu Paul ni mpango wa kisiasa yeye kutolewa kwenye nafasi ile.?

Nimejikuta natafakari kwa sauti namna au sababu za yeye kutolewa kwenye nafasi yake hasa kipindi hiki cha uchaguzi.

Kwa upande wangu naona kama angeendelea kubaki pale kipindi hiki, ingewaletea shida chama kubwa kwa mgombea wao wa urais kuweza kujisafisha na zile skendo ya mstaafu huyu. Huenda wanasayansi wa kisiasa wa chama kubwa waliliona hili hivyo wakaamua kuchukua hatua zilizochukuliwa ili kuacha hili lipite alafu baada ya hapo atarudi tena kwenye system kama kawaida?

Nimeuliza swali ambalo najiuliza mwenyewe. Hivyo, kama kuna mwenye kuwaza na kifikiri kama mimi njoo tutoane tongo tongo kwenye mtanange huu wa kisiasa.
 
Fikirisha ubongo wako jombaa...kwenye hito nafasi katolewa na nani wakati ilibidi nafasi yake ijazwe baada ya yeye kwenda kuomba ridhaa ya ubunge kigamboni
 
Fikirisha ubongo wako jombaa...kwenye hito nafasi katolewa na nani wakati ilibidi nafasi yake ijazwe baada ya yeye kwenda kuomba ridhaa ya ubunge kigamboni
Habari zenu wanajamii?
Kama nilivyokuja na swali hapo juu.

Nimekuja na swali lenye mtazamo ambalo limenifikirisha kwa muda mrefu sasa.
Nimejaribu kujiuliza kuwa je, mh mstaafu Paul ni mpango wa kisiasa yeye kutolewa kwenye nafasi ile.?

Nimejikuta natafakari kwa sauti namna au sababu za yeye kutolewa kwenye nafasi yake hasa kipindi hiki cha uchaguzi.

Kwa upande wangu naona kama angeendelea kubaki pale kipindi hiki, ingewaletea shida chama kubwa kwa mgombea wao wa urais kuweza kujisafisha na zile skendo ya mstaafu huyu. Huenda wanasayansi wa kisiasa wa chama kubwa waliliona hili hivyo wakaamua kuchukua hatua zilizochukuliwa ili kuacha hili lipite alafu baada ya hapo atarudi tena kwenye system kama kawaida?????

Nimeuliza swali ambalo najiuliza mwenyewe. Hivyo, kama kuna mwenye kuwaza na kifikiri kama mimi njoo tutoane tongo tongo kwenye mtanange huu wa kisiasa.
Unajuwa mtu mkweli kwenye jamii yetu hii ya kibongo huwaga hakubaliki!! Lkn ukweli daima utabaki kuwa ukweli. Makonda ameutendea haki ukuu wake wa mkoa. Haya mengine ni political technicalities tu. Makonda anakuja kuwa waziri wa mambo ya ndani au Tamisemi.
 
Back
Top Bottom