Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kata ya Saranga majina wametoa leo na waombaji waende na vyeti halisi pia walituma ujumbe mfupi tangu juzi.naomba kuuliza kama washatoa majina ya wasimamizi wa uchaguzi wa marudio especialy kwa halmashauri ya manispaa ya ubungo.
wamebandika katamajina wameyabandika kata au yapo wilayani?
Mimi mwenyewe mganga njaa tu. huwa nipo nyegezi stendi nakatisha tiketikwanini mzee, vi-opotunity kama ivyo atuviachagi mzee. ata kama kuna kazi ya kuchimba au kuzibua choo chako we tupia tu umu jf wadau tupo, mkuu si kasema tufanye kazi.
Mie Niko nyamazobe hapa mkuu.Mimi mwenyewe mganga njaa tu. huwa nipo nyegezi stendi nakatisha tiketi
During seminars session payment will 20k per day and two days will be used.Anayejua kuhusu malipo yake atusaidie please