Je, Majina ya waliomba kusimamia Uchaguzi wa marudio yameshatoka?

kalipeni

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,528
1,241
naomba kuuliza kama washatoa majina ya wasimamizi wa uchaguzi wa marudio especialy kwa halmashauri ya manispaa ya ubungo.
 
naomba kuuliza kama washatoa majina ya wasimamizi wa uchaguzi wa marudio especialy kwa halmashauri ya manispaa ya ubungo.
Kwa kata ya Saranga majina wametoa leo na waombaji waende na vyeti halisi pia walituma ujumbe mfupi tangu juzi.
 
kwanini mzee, vi-opotunity kama ivyo atuviachagi mzee. ata kama kuna kazi ya kuchimba au kuzibua choo chako we tupia tu umu jf wadau tupo, mkuu si kasema tufanye kazi.
Mimi mwenyewe mganga njaa tu. huwa nipo nyegezi stendi nakatisha tiketi
 
Anayejua kuhusu malipo yake atusaidie please
During seminars session payment will 20k per day and two days will be used.
Hence 2×20,000=40,000
During election date payments will be 60,000tsh and it will take 1 day.
40,000+60,000= 100,000tsh.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom