je,maisha ni foleni au?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
360
Kuna kibwagizo cha wimbo mmoja kinaimba ...maisha ni foleni kila siku inasogeaaaa polepole,mwamini Mungu ipo siku utafanikiwaaa eee...nikiwa nausikia mwimbo huu napata furaha na uchungu kwa pamoja ,FURAHA-inakuja sababu nina imani kuwa kuna siku yaja na mie ntaishi juu ya dola moja ya mmarekani..UCHUNGU-napata uchungu hasa nikiangalia maisha ya mtanzania wa leo,kila siku nakuwa naelezea maisha halisi ya mtanzania kwa sasa yanakatisha tamaa na hapo ndo napata wasiwasi hv ni kweli maisha ni foleni na kuna siku mtanzania wa leo atafurahia ?ni kweli ni foleni na kama leo hujafanikiwa leo ni zamu ya mwenzako na kesho ni yako ,waungwana maisha ya mtz wa leo ni ya kutia-uchungu kwani kwa maisha yalivyo biashara nyingi zisizo rasmi zinachipua kama uyoga,nashindwa kuelewa hivi ni kweli maisha ni foleni ?
 
Tunisia na Al-Misria walipanga foleni weeeh, wakaona foleni haisongi. See what they did?
 
Back
Top Bottom