Je mahusiano ya Lamwai na Marando ni ya neema kwa CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mahusiano ya Lamwai na Marando ni ya neema kwa CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mghaka, May 6, 2011.

 1. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jana katika pitapita zangu niliwakuta Mabere nyaucho Marando na Dr Lamwai katika mzingira ambayo yalinitia wasiwasi kama yana neema kwa CDM tafadhali mwenye kujua anijuze kulikoni katika kona ile na si mahali wazi. Sina mashaka na Mabere lakini kwa tofauti zao za itikadi mahusiano hayo ni mazuri kwetu. Najua ni marafiki sana lakini si mwamini Dr Lamwai kwa hali yeyote ile naogopa CDM kupitia njia ya NCCR MAGEUZI
   
 2. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mahali nilipowakuta ni Geneva` Pub
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mghaka hueleweki...hivi leo nikija na Topic yenye kichwa cha habari " Nimewakuta fulani na Fulani sehemu Fulani wakifanya hiki na kile" na nikataka ushauri wako unaweza kunishauri? Embu panga vizuri hoja yako ueleweke!
   
 4. V

  Vancomycin Senior Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kaka hujabainisha hayo mazingira yaliyokutia wasiwasi na zaidi hujaeleza wasiwasi wako juu ya Dr.Lamwai nadhani ingekuwa vyema zaidi ingezingatia haya na kueleza kwa kina ili hoja yako iwe na msingi mzuri zaidi.
   
 5. W

  WildCard JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hao wote mbona ni "spent forces" kama Mrema. Wasikupe taabu. Katiba inaruhusa freedom of association. Ili mradi hakuna sheria inayovunjwa.
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kaka yasikutie shaka kabisa kwani Marando ni mpiganaji wa kweli.Nikupe mfano..hujui kwamba Joseph Selasini mbunge wa Rombo ni mdogo wake Lamwai????? Na pia baba yake Joseph Selasin ni Diwani wa CCM Rombo.Kwa hiyo siasa isitufanye tuwe maadui.
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280

  :fish2:
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Lamwai na CCM na Marando ni CDM,ila wote ni wanasheria wakutukuka sioni kama itikadi zao za vyama zinazia urafiki wao
   
 9. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona unaleta ubaguzi wa ajabu wewe? Unataka mitaani tuongozane wa chama hiki pamoja na wa chama kile peke yao? Tusiwe marafiki? Tusioane? Tusizikane? Au ndo unataka kumpaka matope Marando? Nashauri tuangalie matendo ya mtu na sio eti alikua kwenye kona na nani. Kwani wewe ulipopita kwenye hiyo kona ukawakuta ulikua unafuata nini huko?
   
 10. m

  mafutamingi JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Marando na Lamwai wanaweza kuwa na tofauti za kiitikadi na pia kuwa wanachama wa vyama viwili tofauti vya siasa. Lakini hii si sababu ya kuwafanya wasikutane na kupata kikombe cha kahawa au moja moto moja baridi wakati wakipiga soga. Kumbuka kwamba hawa wamesoma pamoja UDSM 1973-76 na hivyo kuna mambo mengi yanayoweza kuwaunganisha kuliko yanayoweza kuwagawanya.
   
 11. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dawa ya watakao ujumu Chadema tutakwenda usiku kwao wakiwa wamelala na kuwachomea ndani.AMEN
   
 12. p

  pikadili Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hoja hakuna hapo,wote ni wanasheria tena makini,sio mbaya wakibalishana mawazo
   
 13. p

  pikadili Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  havina uhusiona,wote ni wanasheria tena makini,tofauti za kisiasa sio uhasama,Tambwe mkubwa wewe!
   
 14. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda ya selasini, ni mzuri sana kuwa mfano wa demokrasi ya kweli tanzania
   
 15. Avocado

  Avocado Member

  #15
  May 6, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo siyo issue,mbona Slaa na mkewe walikuwa vysms tofauti ?
   
 16. M

  Mbwazoba Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi mchumba wangu ni ccm damu na amekataa hawezi kuhama na tukikaa tunajadili issue za kujenga family tu, ikija hoja ya kisiasa tunapeana fact na sio matusi kama humu jf.

  pia ww ndugu yangu ukishabikia siasa bila kujua kupima, utajikuta unabaki peke yako kesho.
   
 17. c

  chama JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Je ulitaka wawe na uadui? Marando na Lamwai lazima wakutane wote ni mawakili maarufu ukiachia toafauti zao za kisiasa ni marafiki wa siku nyingi na wanaona karibu kila siku hakuna ubaya wowote kukutana kupeana ushauri kwenye utekelezaji wa majukumu yao kama mawakili. Acha kushabikia siasa za chuki na uchochezi.
   
 18. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Brilliant man is skeptical to everything he sees, an intellectual finds answers to all the problems that make him feel uncomfortable, utilizes carefully all his resources including JF. I accept your storm reaction to my news alert, but some of you guys have resolved to be intellectally poor, they dont give room to careful listening and to small details, please! please! please! avoid brain poverty, it is the enemy of patience, wisdom, success, hearing, vision, analysis it is an enemy of everything.Ambrose Bierce a retired war veteran reminds us to be vigrant and conduct deliberations all the time to examine our bread to determine which side it is buttered on. It wasnt a bad idea posting news alert to jamii forum in order to give chance for gents to examine Marando if is CDM buttered,the negatively reaction shows that JF is full of crooks. I will not abstain, i will not label myself a weak person who yields to the temptation of denying himself a pleasure of searching information. Jamii forum is a resource centre for information seekers, and deliberations forum dont scare users of this social network to stimulate deliberations even on things that you are not comfortable with, in a place like this sometimes your brother will be punched or your mother, sister or a friend and their integrity will be questioned, that is life today is your friend may be 2morrow will be my father. As long as they have a qualification of being public figures this oven will search for them and test their strength to resist being cooked. chaoooooooooh
   
 19. S

  Sio Mwanasiasa Senior Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unataka kusema nini?
   
Loading...