Je Mahakama za kimataifa zinaweza tengua matokeo ya uchaguzi?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
kuna habari ambazo zinatumwa katika mitandao ya kijamii kuwa mawakili wa cdm/ukawa wapo uholanzi kufungua kesi kuhusu uchaguzi huu na namna ccm ilivyobaka demokrasia, sasa naomba wataalam wa sheria na wadau wengine mtueleze kama hii inaswihi au vipi
 
Je Tanzania imepiga sahihi ya kutambua mamlaka ya mahakama hayo? Vyombo vya utendaji vya Tanzania ndivyo vyenye kauri ya mwisho.
 
Back
Top Bottom