Je, Magufuli ni bepari? Mjadala wa Kina na tafakuri huru

Ndio nibepari popo yani haeweki kama ninepari au sio nepari kutokana na ubepari wetu Tz kukosa nguzo.but Mkapa ndiye aliye anzisha ubepari Tz na ndiye baba wa huo
Ndio maana unaona unyonyaji kwa wafanyakazi umeongezeka,unyonyaji kwa wakulima umeongezeka eg korosho na sifa moja ya bepari ni kukunyonya mpaka ahakikishe amelumaliza kabisa
Kwahio inabidi watanzania wapiganie uhuru wao upya, na njia zote za kinyonyaji eg kitambulisho cha mjasiria mali,kodi kubwa na mishahara midogo.
 
Back
Top Bottom