Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,079
Mafuta ya Zaituni aka Olive Oil yanatibu maradhi mengi tu tumia kwa kujipaka kila unapo maliza kuoga utaona ngozi yako itakuwa ipo nyororo na laini au kunywa hayo mafuta dakika 10 kabla ya kula chakula yatalainisha tumbo kwa wale wenye kupata choo kigumu wakinywa Mafuta ya Zaituni kijiko 1 kabla ya kula chakula kwa siku mara 3 wanywe vijiko 3 basi tumbo litasaga chakula vizuri na watapata choo laini tumia kwa kunywa au kujipaka kwa kila maradhi unayatumia hayo mafuta ya Olive oil ni mafuta yenye baraka tele tu faida zake ni nyingi huwezi kuzimaliza. Ni Mafuta yaliyo barikiwa na mitume.Salaaam wana Jf
Ni langu tumaini kwamba mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo naomba tufahamishane kazi ambazo zinawezwa kufanywa na OLIVER OIL.