Je mafundi simu nao wanatakiwa kuwa na leseni?

Blue Heart

New Member
Feb 1, 2017
2
0
Habarini wandugu,poleni na majukumu ya hapa na pale.Mimi najishughulisha na ufundi simu,je nami natakiwa kwenda kukata lesen ya biashara kwa kazi hiyo?
 
Ndio. Tena ukanunue na EFD uwakatie receipts wateja wako!
 
Back
Top Bottom