Je, maendeleo yako yanafanana na umri wako?

Inategemeana unafanya nin kwa wakati huo na umri wako? Pia,malengo uliyojiwekea na uwezo wako binafsi.ila kiukweli kuwa nje na muda au malengo ni vibaya sana,na watu ambao tunacheza na level ndogo ya maendleo ukilinganisha na umri inaumiza sana.
Though wanasema "usiogope kuchelewa unapokwenda ikiwa muda haukuachi"
 
Rejea swali hapo juu!
Umeshawahi jiuliza hili swali? Unajisikiaje unapoona umri wako hauendani na maendeleo yako..unajisikiaje unapoona vijana wadogo wamefanya mambo makubwa kuliko wewe?

kwani theory ya maendeleo kwa watu binafsi inasemaje? Main factors za maendeleo ya mtu binafsi ni zipi? Na maendeleo ya mtu binafsi yanapimwaje? Au maendeleo ya mtu binafsi maana yake ni nini? Hayo mambo makubwa ndio mambo gani na ukubwa wake unapimwaje?
 
CRITERIA ZIPO HURU..We jipime kulingana na hayo maswali then tupe mrejesho...no complications!!!
 
Back
Top Bottom