Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,330
- Thread starter
- #21
mahitaji muhimu...kama elimu bora kwa watoto wako, malazi bora kama siyo mjengo wako basi wa kupanga unayoyadumu bila complications..siyo mtu unagombana na mwenye nyumba kila siku kisa kodi...chakula, usafiri wa uhakika siyo unaendesha gari siku tano tu za mshahara baada ya hapo unapaki...na kuwa na acount inayosoma vizuri (yenye afya au kuwa na financial freedom) vingine wengine wataongezea...kwangu mimi hizi ndo KPI zangu.Maendeleo ni nini? Ili mtu aonekane ameendelea anatakiwa awe na nini?