Je, madiwani wa Chadema wanaapishwa na kuendelea na kazi kama alivyosema Halima Mdee?

Mwenyekiti wako wachama, halafu baada ya kuona sekeseke la wanachama wake, akaamua kujifanya anawaruka majoka wateule walee. Haaa haaaaaa. Maigizo mengine bwaaanaaa
Kwa nini hao unaowaita wateule wasimwage mboga kama hilo unalosema lipo?
 
Halima anawachezea akili. Waliyokula kiapo ni madiwani wa kuchaguliwa kama alivyokula kiapo mbunge aidah khenani wa kuchaguliwa. Halima anajidai haelewi kama kosa laoyeye na genge lake ni namna walivyofika kuapa bungeni viti maalum kinyume na utaratibu wa uteuzi wa chadema.
Atuchezeeee akili sisi tuliomgaragaza kawe, anawachezea nyie wana kikundi kimojaaa.
 
Halima anawachezea akili. Waliyokula kiapo ni madiwani wa kuchaguliwa kama alivyokula kiapo mbunge aidah khenani wa kuchaguliwa. Halima anajidai haelewi kama kosa laoyeye na genge lake ni namna walivyofika kuapa bungeni viti maalum kinyume na utaratibu wa uteuzi wa chadema.

Shida ni kwamba chama hakiutambui huo uchaguzi uliowapa ushindi hao madiwani! Au chama kinatambua matokeo yaliyowapa ushindi wagombea wake, lakini hakitambui matokeo yaliyowapa ushindi wagombea wa vyama vingine?
 
Back
Top Bottom