Je mabadiliko ya sheria ya mifuko ya jamii je waheshimiwa Wabunge inawahusu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mabadiliko ya sheria ya mifuko ya jamii je waheshimiwa Wabunge inawahusu??

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mchokozi, Jul 26, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana JF nimekaa na kutafakari kwa makini lakini sijapata jibu sahihi kuhusu mabadiliko yanayohusumifuko ya jamii, je waheshimiwa wabunge nao wanahusika na sheria hii? na kama siyo je wao si wanachama wa mifuko ya jamii? Nielimisheni tafadhari
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa inawahusu wasingeipitisha.
  Wao wakimaliza miaka yao mitano wanavuta fedha yao yote hata kama wanaendelea na ubunge.
   
Loading...