Je maandamamo yakupinga malipo kwa dowans yatafana na kufanikiwa.....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
....Jumamosi kuna maandamano yaliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yasiyo ya kiserikali yakiongozwa na kituo cha sheria na haki za binadamu kupinga malipo kwa DOWANS nakuwa na shaka kama haya maandamano yatafana na kufanikiwa kama ambavyo tulitegemea,hii ni kwasababu ya kukosa nguvu kwa hizi taasisi za kutetea haki za binadamu na hasa kwa upande wetu Tanzania...Sijawai kusikia haya mashirika yakionyesha kweli huo utetezi wao mpaka tukajenga imani kwao....Kwasababu hii natilia shaka mrejesho wa wananchi kwa maandamano haya....sidhani kama watapata watu wakutosha ukitilia maanani kuwa WATANZANIA WENGI WA HALI YA CHINI HAWATAMBUI UWEPO WA MASHIRIKA KAMA HAYA na ambao ndio wengi kwenye jamii yetu,NA NDIO WALIO TAYARI KUPIGWA JUA,VUMBI NA MVUA kwa ajili ya kutetea maslahi ya nchi yao..vinginevyo tutawaona viongozi wa haya mashirika tu....

Otherwise nawatia moyo wakazi wa DSM tuwakilisheni vyema tuko nyuma yenu........
 
Inshaallah MUNGU atayatia baraka yatafana na kufanikiwa kupinga wizi huu wa dowans ambapo kwa mujibu wa Sitta amewaita WAHUNI.
 
naomba wahusika wangeitangaza hata kwenye vyombo vya habari me kati ya ya watu wote ambao nmewauliza kuhusu maandamano hayo hawakuwah kusikia kabla ya mimi kuwaambia habari hizo ......naomba sana wahusika waitangaze hiyo habari...mimi binafsi naahidi kuwepo eneo la tukio kwa muda muafaka. leo tu nmerudi nyumbani naambiwa mchele umepanda toka 1500 na 1600 mpaka kufikia 2000 na zaidi...tuwakemee mafisadi wote wa cccm
 
mkenge kwenye haya maandamano
us.jpg
 
Back
Top Bottom