Je M-pesa za Kenya & Tanzania zinaweza kutumiana pesa?

Jun 21, 2016
19
37
Naomba kufahamishwa please!
Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania?
je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi?
 
Naomba kufahamishwa please!
Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania?
je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi?
Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya
 
Ndio unaweza . Nenda kwa wakala atakuelekeza jinsi ya kufanya
Wala haihitaji kwenda kwa Wakala, kupitia Menu ya M Pesa ataona Maelezo ya namna ya kutuma au kupokea pesa international..
 
Mpaka tarehe 30 June 2016 uliweza kufanya hivyo.
Sijui kama ita endelea hivyo kufuatia Bajeti mpya
 
Back
Top Bottom