FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,035
- 40,700
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
Ndicho anachosema humo?Nitakupa burudani kama zile za peponi , ukienda msalani nikubebe mgongoni😂
Comoro wanatumia lugha ipi yenye kiswahili ndani yake?Mayotte Comoro. Kutokana ma maelezo ya mmoja wa walioiangalia na kutoa maelezo yake.
Comorian languageKuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
Hakuna kikurya huko hata kidogocha wakurya hichoo.
Comoro au Mayotte nao wanatumia baadhi ya maneno ya kiswahili
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
Unasemaje wewe? Hivi hicho anachoimba utasema ni kiswahili? Seriously?Wangazija wanakiswahili chao, wazanzibari wanakiswahili chao, wamombasa wanakiswahili chao, Kongo wanakiswahili chao na msumbiji pia, tatizo ni sisi kulazimisha kuwa ndio waanzilishi wa lugha ya kiswahili wakati siyo kweli.