Je, Lowassa ni Nabii wa kisiasa?; Je, ndo alikuwa nguzo ya Kikwete?

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
kuna kitu lowassa alikizungumza ambacho kimeanza kuibua mapya. Makamba wakati wa kufukuta kwa mgogoro wa Arusha kwamba; kwa nini ccm ilikubali kuketi meza moja na cuf ikatae kukaa meza moja na chadema? Nimeunganisha na Tamko la hivi karibuni la Masheikh nikaogopa sana!!!!!!!!!! ndugu zanguni mnalinganisha vipi tamko la Lowassa, makamba na Masheikh?
 
Back
Top Bottom