hivi hizi zahanati zinazofungwa kwa kisingizio cha kukosa watalaam kama serikali ingetuma hawa watalaamu si wananchi wangesaidika sana kuliko wanavyozifunga na kuwaacha wanachi bila matumaini?unasemaje kuhusu hili? Zile milioni 50 za kumkamata mbowe kama zingetolewa kama fungu la kuzihudumia zahanati hizi si ingesaidia kuokoa maisha ambayo serikali imeshindwa? Serikali ikumbuke kuwa ni jukumu lake kuwahudumia wananchi wake na knapotokea sekta binafsi kusaidia serikali iunge mkono na si kufunga, mbona zahanati za serikali ndio ziko hoi na hazifungwi?