Je, Lowassa akishindwa Uchaguzi ataendelea kukipigania CHADEMA, (M4C)?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Kinachoendela saa ni ukuaji wa Democrasia,kuimarika kwa vyama pinzani hususani CDM:Ila kuna swali la kujiiukiza
matokeo haya kuna kushindwa na kushinda pia droo ipi.

Swali;

Je, E.Lowassa endapo ataanguka, ataendelea na harakati za kukupambania na kukikuza chama?

Ataendelea na Movement for Change?
 
hAKATWI MTU ...AHAAA MBONA WATU WALISHA SAHAU KUWA KAKATWA MTU
 
Ndugu zangu wadau na washika dau wa CCM,ni kawaida kwenye siasa kuzidiwa.Tatizo mnatetemeka mpaka mnatia huruma.Mara hivi,mara vile,mnapiga ngoma mnacheza wenyewe!Kuweni majasiri,kubalini kuwa safari hii mmezidiwa mbinu.Jipangeni kwa utulivu maana hii ni fursa mmepata ya kujitathmini.Msijiaibishe zaidi ya hapo
 
Maccm bwana,yamejipa hatimiliki ya nchi hii mpaka yanajisahau,eti watanzania "hatuongozwi na mgonjwa".Acheni wananchi tuamue, hakuna goli la mkono maana hata kati huvuki utafungaje?
 
Mbowe kalamba fedha nyingi tu. Anajuwa Urais hakuna. Cheza na Mchagga wewe?

Mtanzania gani ataekubali achaguwe Rais mgonjwa?

Kwahiyo wewe ni mzima sana kuliko wengine, Mungu azidi kukujalia afya. Sasa utashuhudia aliye mgonjwa anaiangusha serikali dhalimu ya CCM. Watu wamechoka mfumo mbovu wa kijimilikisha watanzania wote na nchi. Tumeshuhudia mkichezea KATIBA ili muendelee kutufanya mandondocha, sasa imekula kwenu.
 
Lowasa anatamaa sana ya kunusa IKULU kwa namna yoyote. Chaguzi zilizopita alikuwa akiwa mvumilivu since alikuwa bado ananguvu za kuweza kusubiri uchaguzi mwingine. Awamu hii hataki kwa kuwa anaona uzee unamnyemelea na hawezi gombea tena 2025. Ngoja ashindwe muone kitakachofuata.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom