Elections 2010 Je liyumba atakumbukwa na jk 9 december?

Gwaje

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
299
85
Imekuwa ni kawaida ya marais kusamehe wafungwa wa makosa mbalimbali hasa ya kifungo kidogo na makosa ambayo wafungwa wametumikia kwa muda furani.
Ndg liyumba anasiku magereza na je wanajamii anastahili kupata msamaha wa raisi? Iwapo ndio kitendo cha kuachiwa huru kinamaana gani kwa jamii ukizingatia uzito wa makosa aliyofanya.
Naombeni kujuzwa.
 
Kama anastahili msamaha wa rais basi atatoka, nadhani alifungwa kutokana na makosa aliyopatikana nayo na siyo kama Liyumba.
 
Namuombea sana atoke maana kama mafunzo amesahayapata....kama kisasi kimeshalipwa.....na kaama kweli kama alisambaza virusi aache kabisa tabia mbaya hata dini haipendi....ajirudii atubu na amrudie Mungu!!
 
Nadhani akitoka ndani ataendelea kuutekenya uchumi wa dada zetu! Mwacheni mwenzenu atulie.
 
Kama atatoka ntamshukuru Mungu. Ila pia jakaya kikwete(hon.) msamehe Babu Seya,yeye ameshaapa kuwa mtiifu,mr president msamehe.
 
Dah mie nilishasahau kama anaexist, kosa la mabilioni cjui kama atatoka. Nahisi wanaotoka ni wezi wa kuku na wazururaji kwanza.Waathirika wa ukimwi na wazee au waliokaribia kumaliza vifungo. Labda kama anakigezo cha ugonjwa. Hakawii kujitangaza muathirika ili atoke jela.
 
Huyu hawezi kumuachia ng'o kwa sababu kamanda Liyumba alisha haribu kwenye viwanja vya muungwana
 
Msamaha wa Rais kwa wafungwa hauhusishi wafungwa wenye makosa ya Rushwa,kuua kwa kukusudia,kubaka...., Being the case, Liyumba hastahili kupata msamaha wa Rais.
 
Msamaha wa Rais kwa wafungwa hauhusishi wafungwa wenye makosa ya Rushwa,kuua kwa kukusudia,kubaka...., Being the case, Liyumba hastahili kupata msamaha wa Rais.
Liyumba anastakiwa na kuhukumiwa kwa abuse of office powers, haangukii makosa ya hapo juu, hivyo anaweza kuachiwa, ingawa nasikia mkulu ana mihasira kwa sababu za viwanja walivyokuwa wanaruka pamoja
 
Back
Top Bottom