Je, Lissu yupo nchini?

UCHUNGUZI UMEFANYIKA NA UMEKWISHA. WAHUSIKA WAKUU WANASUBIRIWA NA MMOJA WAO NI LISSU. HIZO NGONJERA MARA WALINZI WALIONDOLEWA MARA CCTV ZILIFUNGULIWA NI HABARI ZA KUTUNGA NA KESI ITAKAPONGURUMA HATA WEWE UTAUFAHAMU UKWELI

..uchunguzi ukikamilika Polisi wanatakiwa ku-arrest wahusika na kuwapeleka mahakamani.

..kama TL anahusika, basi Polisi wanatakiwa watoe warrant ya kimataifa ili popote alipo arudishwe nchini kujibu mashtaka.

..mwisho, Polisi wanatakiwa wamkamate aliyeondoa walinzi area D. Kwa vyovyote vile mhusika huyo anawajua waliopanga ugaidi ule.
 
Ni fiti kwa Saccos sisi tunamwona msaliti tu aliyeshindwa! Vitu vyote alivyokuwa anapinga tumefanikiwa kuanzia Accacia hawapotena TZ na tumefikia makubaliano na Barrick na Kampuni mpya ya Twiga imeshaanzishwa! Hapa Kazi Tu! Pia hana tena Ubunge amebaki kiongozi kwenye Saccos inayokufa baada ya October 2020.
Magufuli atakuwa amekufa kabla ya hiyo Oct 2020,jiandae kulia kenge wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha kweli nyumb ni shida! Hivi kweli Lissu wa sasa hivi ni sawa na wa 2017 kweli?? Hana ubunge pia anachechemea!! Wakati mwingine basi tumieni ubongo kidogo!
Nyumbu ni mama yako mzazi Shetani mkubwa wewe, yaani unafurahia matatizo ya Tundu Lissu ?
Mungu alimponya mtakufa nyie na kumwacha swine kweli wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..uchunguzi ukikamilika Polisi wanatakiwa ku-arrest wahusika na kuwapeleka mahakamani.

..kama TL anahusika, basi Polisi wanatakiwa watoe warrant ya kimataifa ili popote alipo arudishwe nchini kujibu mashtaka.

..mwisho, Polisi wanatakiwa wamkamate aliyeondoa walinzi area D. Kwa vyovyote vile mhusika huyo anawajua waliopanga ugaidi ule.

Hizo ngonjera za kuondoa walinzi hata wenzako hawazizungumzii tena kwa sababu wanajua wanaweza kuja kuitwa waeleze ni lini hao walinzi na CCTV zao zilikuwepo tangu nyumba zimejengwa na hawatakuwa na jibu
 
..wengi wamhoji kuhusu walinzi kuondolewa na hakuna aliyekamatwa.

..IGP hajakanusha madai kwamba walinzi waliondolewa siku ya tukio.
 
Unachekesha dogo unadhani kila mtu yuko kama wewe uliye kabidhi akili kwa chakubanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ana miaka minne na nusu tu madarakani. Na ninaamini 2025 atakabidhi kijiti cha Urais na Umwenyekiti kwa mwana CCM mwingine. Ninyi huko Ufipa mnajiapiza hakuna mtu mwingine kuwa Mwenyekiti zaidi ya Mbowe Hata kwa kuvunja Katiba ya chama chenu. Hapo nani kashikiwa akili?
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Kumbe wakati mwingine una akili, kama unakili kuwa wana chama wa cdm ndiyo wanahitaji mwenyekiti wao aendelee kuwaongoza.

Sasa hapo kosa liko wapi? Wanachama ndiyo wenye uamuzi wa kujua nani awaongoze.

Back
Top Bottom