Je, Lissu yupo nchini?

eeh yuko nyumbani kwa Lema
Ila hapo sio kwa Lema bali karibu pafananie
Paangalie kwa Lema
Muda huu Jijini Arusha nyumbani kwa Mjumbe wa kamati kuu na Mbunge wa Arusha Godless Lema ametembelewa na miss wa Tanzania 2006 Wema Issac Abraham Sepetu na Viongozi wa BAWACHA Arusha kwa kumpa pongezi na kujifunza mbinu za Mapambano dhidi ya Dola kandamizi.
View attachment 477034
View attachment 477035
View attachment 477036
View attachment 477038
View attachment 477039
View attachment 477040
View attachment 477043
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akimshauri Wema Sepetu nyumbani kwake alipoenda kutembelewa.

Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.

Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502

Sent using Jamii Forums mobile app
Almanusura ningedhani ni nyumbani kwa kamanda kufuatia rangi za nyumba karibu zifanane tofauti ni paa, kwa Lema ni bati ya decra kutoka Australia kupitia South Africa na kutua nchini kupitia Nabaki Africa, wakati hapo Makamanda walipo kiezekeo ni kigae.

P
 
..aliyeondoa walinzi ktk nyumba za viongozi wa serikali na bunge, mahali aliposhambuliwa Tundu Lissu, anawajua waliopanga na kutekeleza shambulizi lile.

..mhusika huyo akikamatwa na kuhojiwa vizuri haitachukua muda mrefu kuwakamata waliohusika.

Subiri uone. Lissu anaijua hiyo kesi na hiyo movie kuliko unavyoijua wewe. Ndio maana anatumia gharama kubwa mno sana kumficha dereva wake na yeye kukaa huko aliko.
 
Subiri uone. Lissu anaijua hiyo kesi na hiyo movie kuliko unavyoijua wewe. Ndio maana anatumia gharama kubwa mno sana kumficha dereva wake na yeye kukaa huko aliko.

..vyovyote itakavyokuwa aliyeondoa walinzi wa serikali anawajua waliopanga shambulizi dhidi ya Tundu Lissu.

..na Polisi wanavyoendelea kupiga danadana ndivyo wanavyozidi kujichafua na kupoteza heshima mbele ya waTz.
 
UCHUNGUZI UMEFANYIKA NA UMEKWISHA. WAHUSIKA WAKUU WANASUBIRIWA NA MMOJA WAO NI LISSU. HIZO NGONJERA MARA WALINZI WALIONDOLEWA MARA CCTV ZILIFUNGULIWA NI HABARI ZA KUTUNGA NA KESI ITAKAPONGURUMA HATA WEWE UTAUFAHAMU UKWELI
 
Hahahaha kweli nyumb ni shida! Hivi kweli Lissu wa sasa hivi ni sawa na wa 2017 kweli?? Hana ubunge pia anachechemea!! Wakati mwingine basi tumieni ubongo kidogo!
Amin nakuambia hazijazimwa line umepooza!
 
Sidhani kama shuleni ulifuata masomo zaidi ya kufuata buruga

Back
Top Bottom