je lipi serekali ya tanzania ifanye 2014?

Tayseer

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
232
54
Nimetafakari sana na nimeona kama watanzania tuna haja ya kushauri na kuelekeza serekali lipi la kufanya kwenye nchi yetu katika mwaka 2014 hivo mwana jf toa ushauri wako kwa serekali katika nyanja hizi
1. Elimu
2. Afya
3. Ulinzi na Usalama
4. Uchumi
5. Utawala bora
 
Ianze na kuondoa viongozi na watendaji mzigo ndipo itekeleze mipango yake ya 2013-2014 vinginevyo usitegemee jipya
 
Back
Top Bottom