Nimetafakari sana na nimeona kama watanzania tuna haja ya kushauri na kuelekeza serekali lipi la kufanya kwenye nchi yetu katika mwaka 2014 hivo mwana jf toa ushauri wako kwa serekali katika nyanja hizi
1. Elimu
2. Afya
3. Ulinzi na Usalama
4. Uchumi
5. Utawala bora
1. Elimu
2. Afya
3. Ulinzi na Usalama
4. Uchumi
5. Utawala bora