Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
- Thread starter
- #41
Ina specifications zipi mkuu tumalize kazi.
KWA MATUMIZI HAYO,
LETE 320,000/- NIKUPE HP YANGU MATATA SANA.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Ina specifications zipi mkuu tumalize kazi.
KWA MATUMIZI HAYO,
LETE 320,000/- NIKUPE HP YANGU MATATA SANA.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Wewe ni guru kwenye jukwaa hili lá Tech. Big up sana kwakoKama una uwezo wa kifedha gen ya 11 ama Amd ryzen 5000 series ndio nzuri zaidi.
Sema budget zetu hizi za kitanzania ngumu mtu kutoa mamilioni ya Hela kununua laptop, wengi wetu tu nanunua laki 6 kushuka
Gen ya 2 mpaka ya 7 haitofautiani sana uwezo wa cpu, ila gpu za ndani kuna utofauti mkubwa, ndio maana unaona tuna recommend generation kubwa.
Ila kama Unapata Gen ya 2 ama ya 3 ina gpu ya Nvidia nzuri si mbaya unachukua, sababu ile weakness ya Gpu ya ndani inakuwa imeondoka.
Kama unanunua yenye gpu ya ndani ndio unaangalia na budget. Budget yoyote ya laki 3 kupanda angalau gen ya 4 Tafuta.
Ikifika budget laki 4 kupanda i3 Gen ya 6 ama ya 7, mpaka laki 6 Angalia i5 Gen ya 6/7
Budget Ikifika laki 8 unaanza kuangalia laptop mpya sasa.
Mkuu laptop ipi kali naweza pata kwahiyo bajeti ya 800000?Kama una uwezo wa kifedha gen ya 11 ama Amd ryzen 5000 series ndio nzuri zaidi.
Sema budget zetu hizi za kitanzania ngumu mtu kutoa mamilioni ya Hela kununua laptop, wengi wetu tu nanunua laki 6 kushuka
Gen ya 2 mpaka ya 7 haitofautiani sana uwezo wa cpu, ila gpu za ndani kuna utofauti mkubwa, ndio maana unaona tuna recommend generation kubwa.
Ila kama Unapata Gen ya 2 ama ya 3 ina gpu ya Nvidia nzuri si mbaya unachukua, sababu ile weakness ya Gpu ya ndani inakuwa imeondoka.
Kama unanunua yenye gpu ya ndani ndio unaangalia na budget. Budget yoyote ya laki 3 kupanda angalau gen ya 4 Tafuta.
Ikifika budget laki 4 kupanda i3 Gen ya 6 ama ya 7, mpaka laki 6 Angalia i5 Gen ya 6/7
Budget Ikifika laki 8 unaanza kuangalia laptop mpya sasa.
Mkuu, HP Envy Model No.15-UO10DXZina namba ndio Sema nyingi sana na mambo ya kuangalia ni mengi ila kwa Nvidia unaangalia namba ya katikati.
Mfano
GT 920M
Gt 940M
Gt 950M
Gt 960M
Gt 970M etc
Hapo namba ya katikati inaashiria nguvu, kwa hizo zinazoanza na 9.
1030
1050
1060
1070 etc
Hizo nazo ni nguvu kwa 10 series unaangalia no ya kati
Gtx 970 ama 960 ina nguvu kuliko 1030.
Sababu no ya kati ni kubwa.
800k mpaka 1m ni core i3 mpya, gen ya 8 mpaka 11, kwa i5/i7 gen hizo hizo unapata used.Mkuu laptop ipi kali naweza pata kwahiyo bajeti ya 800000?
Hio ni gen ya 4, matumizi ya kawaida si mbaya. Specs nyengine angalia upande wako nenda my computer kisha right click kisha properties.Mkuu, HP Envy Model No.15-UO10DX
kuna jamaa anataka kuniuzia inafaa kwa matumizi ya kawaida?
specs zake zikoje.
Kaniambia battery haikai na chaji naweza kupata kwa bei gani?
Hio ni gen ya 4, matumizi ya kawaida si mbaya. Specs nyengine angalia upande wako nenda my computer kisha right click kisha properties.
Battery zake sijui kama zipo hapa Tz, ila online naiona bei ya kawaida $24.
Angalia na bei pia iwe chini ya 500k
Tatzo used naweza pigwa tu.800k mpaka 1m ni core i3 mpya, gen ya 8 mpaka 11, kwa i5/i7 gen hizo hizo unapata used.
Na kama unachukua used unaweza pia ukaangalia yenye dedicated gpu hata ndogo Nvidia ama radeon.
Unaweza pigwa ndio ila risk ni ndogo kwa laptop compare na simu ama vifaa vyengine vya electronics.Tatzo used naweza pigwa tu.
Maeneo yapi naweza pata Used? Maana mimi nipo mkoani shinyanga na nilisikia wanachuo wanapo maliza chuo ndio unaweza pata kitu kizuri.Unaweza pigwa ndio ila risk ni ndogo kwa laptop compare na simu ama vifaa vyengine vya electronics.
kama unaogopa nunua tu mpya mkuu.