Je, laptop nzuri ina sifa zipi?

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,613
5,101
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.

So wanajukwa naomba kueleweshwa zaidi na ikiwezekana kama kuna mdau ambae anayo tufanye biashara.

Mjadala wote ni hapa hapa jukwaani.
 
Kwahiyo bei sio kwamba hautapata, ila itakua na specs za chini sana.

Cha kwanza, unalenga kuitumia hiyo laptop kwa mambo gani? Kuhifadhi kumbukumbu za biashara, kusomea, kutengenezea video n.k. hiyo itaamua ukubwa na uwezo wa laptop unayoihitaji.

Sifa zinazoangaliwa ni uharaka na uwezo wa kuchakata taarifa, uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu, uwezo wa kufanya kazi kwa apps kubwa kama graphic, kukaa na charge n.k

Sasa ukishatangaza hapa dau lako uwe makini, utasokotwa uje ulete uzi wa kutapeliwa. Utapatiwa ngarangara kwa bei inayocheza mlemle kwenye bajeti yako.
 
Kwahiyo bei sio kwamba hautapata, ila itakua na specs za chini sana.

Cha kwanza, unalenga kuitumia hiyo laptop kwa mambo gani? Kuhifadhi kumbukumbu za biashara, kusomea, kutengenezea video n.k. hiyo itaamua ukubwa na uwezo wa laptop unayoihitaji...
Shukran kwa kuchanguia mkuu, nahitaji kwaajili ya matumizi madogo madogo tu kama kusomea, kuhifadhia movies & series, na documents mbali mbali.
 
Inategemeana unatafuta laptop kwa matumizi gani, Mara nyingi wanaangalia processor na Storage capacity:
kwa garama hiyo uliyo nayo utapata laptop ya kawaida mno njoo nikupe Toshiba kali ila betri imekufa ya kubadili nakupa kwa 225, 000/ tu
Ya mwaka gani mkuu, storage yake ni ngapi.
 
CPU(Ubongo wa computer) uwe ni kuanzia icore 5 na ukubwa wa disk iwe ni kuanzia GB 500 na kuendelea. Chukua HP ndizo zinazodumu ninayo yangu huu mwaka tano, ingia kariakoo na uwe na mtu anayejua computer kiuandani utapata komputer kali kwa bei rahisi
Ok mkuu, Asante sana kwa ufafanuzi na ushauri.
 
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.

So wanajukwa naomba kueleweshwa zaidi na ikiwezekana kama kuna mdau ambae anayo tufanye biashara.

Mjadala wote ni hapa hapa jukwaani.
Mkuu sifa za computer ni hizi
1.Processor yake ndiyo speed ya machine
2. Storage capacity ya machine yaani Hard disk drive au solid disk drive
3. Ram ya computer
4. Display screen nchi ngapi 14.0, 15.6
5. Battery inakaa kwa muda gani

* Nitafute kwa msaada wa kununua na kuuza yako used

Nichek 0714894219
 
Ok mkuu, kama unayo iweke tu hapa hapa jukwaani na specific zake yawezekana ukapata na mteja mwingine zaidi.
 
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.

So wanajukwa naomba kueleweshwa zaidi na ikiwezekana kama kuna mdau ambae anayo tufanye biashara.

Mjadala wote ni hapa hapa jukwaani.
Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.

Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i7
 
Asante sana chief kwa umenitoa tongo tongo nilikuwa sijui.
 
Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.

Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i7
vp kuhusu graphic card ya pc mkuu nayo inakua na mantiki unapo chagua au haina maana sana?
 
Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.

Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i
Naomba kujua namna ya kuweza kujua graphics card iliyopo ndani ya computer
 
Click alama ya kusearch kisha andika

Dxdiag

Kitatokea kiprogram kifungue, itafunguka tab click display itakuonesha aina ya Gpu iliyopo kwenye laptop

Alternative search device manager ingia kwenye graphics pia utaona.

Pia Mara nyingi laptop yenye dedicated gpu inakuwa na sticker kwa juu ya Nvidia, radeon ama XE
 
Back
Top Bottom