Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

Discussion in 'JF Doctor' started by Lekanjobe Kubinika, Feb 18, 2010.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Je, kama ni kweli huongeza vipi nguvu za kiume? Nguvu za kike je? Kwa nini karanga mbichi na sio zilizokaangwa? Wengine husema mchanganyiko wa ngisi, garlic na asali mbichi huzidisha nguvu za kiume, ni kweli nayo hii? Kwa nini isiwe asali nyingine? Isije ikawa ni promotion ya biashara hizo.
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,609
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kuna tofauti ya kuongeza nguvu za kiume na Manii(Shahawa) ! Nijuavyo karanga zinaongeza uzalishaji wa Manii/Shahawa kwa ajili ya protini iliyonayo lakini si nguvu za kiume
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Chakula chochote chenye "PROTEIN" nyingi uongeza "ENERGY - in Cal value" (nguvu is too general) mwilini. Karanga zina protein nyingi na mafuta.

  Potency haina uhusiano na Karanga in that sense!
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Thanx, lakini mkuu, sio protei inayoleta nguvu bali carbohydrate. Fats zinakuwa option nyingine endapo carbohydrate haipatikani, na kisha kama fat nayo imemeng'enywa ndipo hugeukiwa protein na ndio maana mwanamke wanaweza kudumu siku nyingi zaidi kuliko mwanaume wakati a njaa, ka sababu wanawake hutunza fat nyingi. Protei hazitnziki mwilini.

  Nakunali kwamba huenda manii huhamasishwa kutengenezwa kwa wingi zaidi kwa kula karanga mbichi kama mjumbe aliyetangulia alivoeleza. Sasa huo mchanganyiko wa ngisi, vitunguu swaumu, karanga na asali mbichi could be a balanced explanation for protein, fat and carbohydrate ili kuongeza nguvu ya kiume na pia kutengeneza manii nyingi. Nashawishika kuona kwamba kama karanga zinahamasisha manii nyingi ndio maana wanaume ndio wanaokazania zaidi kula karanga hizo na sio wanawake. Labda kwa ujinga tu, wengine wanadhani karanga peke yake itaongeza nguvu za kiume, maana utakuta mtu anakwambia "unakula karanga mbichi, umepata mahali pa kumalizia hasira?"
   
 5. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Thanx, lakini mkuu, sio protei inayoleta nguvu bali carbohydrate. Fats zinakuwa option nyingine endapo carbohydrate haipatikani, na kisha kama fat nayo imemeng'enywa ndipo hugeukiwa protein na ndio maana mwanamke wanaweza kudumu siku nyingi zaidi kuliko mwanaume wakati a njaa, ka sababu wanawake hutunza fat nyingi. Protei hazitnziki mwilini.

  Nakubali kwamba huenda manii huhamasishwa kutengenezwa kwa wingi zaidi kwa kula karanga mbichi kama mjumbe aliyetangulia alivoeleza. Sasa huo mchanganyiko wa ngisi, vitunguu swaumu, karanga na asali mbichi could be a balanced explanation for protein, fat and carbohydrate ili kuongeza nguvu ya kiume na pia kutengeneza manii nyingi. Nashawishika kuona kwamba kama karanga zinahamasisha manii nyingi ndio maana wanaume ndio wanaokazania zaidi kula karanga hizo na sio wanawake. Labda kwa ujinga tu, wengine wanadhani karanga peke yake itaongeza nguvu za kiume, maana utakuta mtu anakwambia "unakula karanga mbichi, umepata mahali pa kumalizia hasira?"
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,117
  Likes Received: 2,415
  Trophy Points: 280
  Major cause for male infertility is low sperm count, low sperm motility and a large number of malformed or abnormal sperms. Various environmental and biological factors affect the sperm count.

  What to Eat: -

  1. Water: - One of the main problems associated with low sperm count is dehydration. To avoid dehydration, drink plenty of water each day.
  2. Zinc: - Eat foods that are rich in zinc, such as lamb, turkey, beans and nuts. These foods can help increase sperm production.
  3. Vitamins: - Vitamins are also a good way to boost the production of sperm. You should eat foods that contain plenty of vitamins C, E and B12. Taking a multi-vitamin is also a good idea.
  4. Selenium: - Foods rich in selenium can increase the motility of your sperm. Some of these foods include cottage cheese, red meat and eggs.
  5. Iron: - Foods that are rich in iron can help your sperm to be healthier. Eat plenty of foods such as dark leafy green vegetables so that you get enough iron in your diet.

  Any foods that contain vitamins known to help increase male hormones or libido aid the production of semen and sperm as well. Vitamins believed to aid in sperm production include vitamin C, vitamin E and vitamin B-12. A high-protein diet that is low in fat is favored by doctors as the best diet to increase the amount of sperm being produced. Zinc is also known to increase testosterone, thereby increasing semen.

  Exercise to lower stress levels and maintain a healthy weight. Being overstressed and overweight can lead to hormone imbalances that will cause sperm production to decrease. A light cardio-exercise program every day keeps testosterone levels balanced and will aid in good semen and sperm production levels.

  Source:http:www.articlesbase.com/mens-health-articles/
   
 7. Abraham

  Abraham Senior Member

  #7
  Feb 18, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Surely. This looks sensible ans well researched.
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Asante SMU ushauri wako ni kisayansi zaidi!
   
 9. I

  Ivilikinge Member

  #9
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JAMANI MIMI NNA TATIZO NATAFUTA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA ZINAA HASA YANOHUSIANA NA VIRAL INFECTIONS VERY URGENTLY NAOMBA SANA MNISAIDIE NIMPATE HUYO DR.NATESEKA SANA NDUGU YENU
  NAPATIKANA bulongwa@yahoo.com
   
 10. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Thanx, well noted. However, the basic question was whether or not nguvu ya kiume inaongezeka na sio ferility. 5 mills of a male ejacute has 200-600 Million spermatozoe. Only 500 mature sperms often can reach the ampulla where fertilization of the mature ovum often takes place. More importantly, about 100 mature sperms must attempt penetration of the ovum by eroding the outer layer - corona radiata using the lysozyme contained into their forehead. All in all, only one fastest lucky sperm that achieve penetrating the inner membrane of the ovum will be allowed througn making a child while others ends up being eaten away as food, being barred from entering a place whivh is already engaged by another one.

  This phenomenon should not be confused with the ability of a man to penetrate into the female genitalia. Not everyone who can ejaculate is capable of making a child. In the contrary, to stand a chance of making a child one has to be capable of penetrating deep as he ejaculates. Otherwise, ejaculation can hapen even under no erection but thi at most will release semen with less quality of producing a child. Nevertheless, a woman can conceive without being penetrated, but by simply having implanted herself by sperm-contaminated towel bafuni.

  I am empharsizing that the core question was whether or not karanga mbichi is capable of strengthening the penile erection to enjoy a little fun. Mtoto ni matokeo na tena ni zawadi kutoka kwa Mungu, lakini ile kitu hata maskini ana haki kupata, will it be asured whether or not it ends up with ejaculation? NGUVU ZA KIUME. sio manii. the converse is also true.
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,515
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unatatizo hilo?waache wenye hayo matatizo wajitibie!!
   
 12. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa maana mnywaji wa Hard liquue kama Konyaji anaweza kukumbana na tatizo la kuzalisha na kumwaga manii kidogo siyo?
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,117
  Likes Received: 2,415
  Trophy Points: 280
  Matatizo yanaweza kuwa mengi tu na mengine ni mabaya zaidi. Ukiweza kuepuka pombe unafanya jambo jema! Msome huyu daktari hapa chini anavyoelezea madhara ya pombe kwa mwanaume:

   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Jamani na nguvu za kike zinaongezwa na nini msaada plz!
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaa Za nini tena?
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Hebu tueke shule pembeni. Unasema nguvu za kiume?
  Maana yake haisimani au? Au inakuwa haina nguvu, au unafika mapema? Au mshindo moja we hoi?
  Eleza, nguvu gani za kiume unaulizia. Au ndo wale wa karanga, valuu+nyagi then 1Kg ya kitimoto
  Alafu mziki wake unakuwa kama wa pico club south korea.
   
 17. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Zimepungua zinahitaji kuongezwa!:rolleyes:
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Ni PM shogangu nikwambie. Hii siri ati,hawatakiwi kujua hawa viumbe wanaopenda miguvu yao
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  kweli shost maana wakijua viumbe hawa hawakawiii kutoa thread...ohh kumbe wanawake nao wanataka nguvu...haiwahusu
   
 20. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  We we huhitaji nguvu Nyingi bana angalia Paco asijekimbia Uwanjani LoL!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...